Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo, Pasco hana tatizo lolote.
Watu wakiamua huo sio ulinzi wa kuzuiaAlikuwa na ulinzi mkali
Confirmed na thread iko humu ndani, official statement kutoka TAKUKURUStill rumours...
Aisee! Viongozi hapa mnapata funzo, na ni bado chama ni CCM siku wapinzani wakichukua nchi wale viongozi waliofnya kazi kinyume na taratibu za nchi nawaonea huruma.Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Halafu kutwa mnatupigia kelele mnataka uwepo wa haki za binadamu, utawala wa sheria haki ya kusikilizwa...wakati hamuwezi kuyaishi muyapigiayo kelele. Hii ipo chini sana, mkuu.Huyu jambazi afungwe ikiwezekana ni mpumbavu sana
Umeelewa au umepanic bila kutumia akili? mahakama si ndiyo inafunga au dingi yako anafunga?Halafu kutwa mnatupigia kelele mnataka uwepo wa haki za binadamu, utawala wa sheria haki ya kusikilizwa...wakati hamuwezi kuyaishi muyapigiayo kelele. Hii ipo chini sana, mkuu.
Kumbe unalijua hilo kuwa mahakama ndiyo ina mamlaka ya haki kutoa hukumu, sasa imekuwaje tena kuita watu majambazi bila udhibitisho kisha kuamuru watu hao wafungwe!? Sasa kwa pamoja tujiulize umepanic bila kutumia akili ama umeelewa mwenzetu?!Umeelewa au umepanic bila kutumia akili? mahakama si ndiyo inafunga au dingi yako anafunga?
Watafungwa bila kupelekwa mahakamani?Kumbe unalijua hilo kuwa mahakama ndiyo ina mamlaka ya haki kutoa hukumu, sasa imekuwaje tena kuita watu majambazi bila udhibitisho kisha kuamuru watu hao wafungwe!? Sasa kwa pamoja tujiulize umepanic bila kutumia akili ama umeelewa mwenzetu?!
Jioni njema mkuu.Watafungwa bila kupelekwa mahakamani?
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza huyu TUJITEGEMEE ni nani? Kumbe na wewe umo! Pole sana na yanayokukumba baada ya mwendazake kuwaacha yatima. Jipige moyo ndugu yangu, Sabaya hakuwa peke yake...mko wengi. I feel your pain...!Halafu kutwa mnatupigia kelele mnataka uwepo wa haki za binadamu, utawala wa sheria haki ya kusikilizwa...wakati hamuwezi kuyaishi muyapigiayo kelele. Hii ipo chini sana, mkuu.