Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kwa Pasko anaonewa au mtamuonea... labda kama alitumia kalamu yake vibaya!!Vipi kuhusu Bashite na Pasco mayalla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Pasko anaonewa au mtamuonea... labda kama alitumia kalamu yake vibaya!!Vipi kuhusu Bashite na Pasco mayalla?
Cha pombe! Hwenda na ujiti pia...Yule siyo mzima kichwani
Duu! JamaniBado rehema chalamila na happy, hawa siku yao yaja
kwa hiyo tusipiganie haki tena kwa wote ......?Taratibu ndugu,wacha atulie ndani aone utamu wa kukaa lock up,iwe fundisho kwa viongozi wengine wanaopenda kuwaweka raia lock up kwa sababu zisizo za lazima.
Wapinzani waliwekwa sana ndani bila sababu za msingi,kipande kimegeuka.
Pambana mkuu,muosha huoshwa.kwa hiyo tusipiganie haki tena kwa wote ......?
Muosha huwoshwa hiyokwa hiyo tusipiganie haki tena kwa wote ......?
why now? sisi tumeshazoeakwa hiyo tusipiganie haki tena kwa wote ......?
Wiki moja tu mnalalamika waliokaa miaka 7 nao wasemeje?Acha ashikiliwe tu hana maana hata akikaa mtaani
Kwanza hawa wanatuzuga hayuko Lockup wala nini.Taratibu ndugu,wacha atulie ndani aone utamu wa kukaa lock up,iwe fundisho kwa viongozi wengine wanaopenda kuwaweka raia lock up kwa sababu zisizo za lazima.
Wapinzani waliwekwa sana ndani bila sababu za msingi,kipande kimegeuka.