Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila Shaka!!Umetumwa wewe sio bure[emoji35]
Pawe Tepetepe 😅😄😃😂😂😁Sabaya anatakiwa avunjiwe yai hapo nyuma
😀 Aliwe kiboga siyo?Sabaya anatakiwa avunjiwe yai hapo nyuma
Kamanda Hamduni leo ni siku ya sita(6) toka uthibitishe kumkamata Olesabya na wenzie kwa tuhuma zisizo julikana maana hazijawekwa wazi kabisa...... kwa tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali dhidi ya Olesabaya ... tulitegemea hadi sasa ameshafikishwa mahakamani lakini si kukaa mahabusu...
Kwakuwa zimeshapita siku zaidi ya tatu ni wazi hakuna mlichonacho dhidi ya Sabaya na pengine watu wameshindwa kutoa ushahidi wa kilicho kuwa kinaongelewa na watu...... ni vyema akaachiwa huru msiogope kusema maana Mama kasema wazi msiogope kuachana na case ambazo hazina ushahidi.
Takukuru mnavyomchelewesha Olesabya kumfikisha mahakamani mnategeneza mianya ya kumbabikia case maana kwa tuhuma zilizokuwa zinatolewa dhidi ya Sabaya inakuwaje hadi sasa hamjamfikisha mahakamani na watu wanasema wana ushahidi ?
Mnakwama wapi? basi muachieni huru.
Tamko la mkurugenzi wa Takukuru
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Huyo jamaa kaingia cha kike..Kamanda Hamduni leo ni siku ya sita(6) toka uthibitishe kumkamata Olesabya na wenzie kwa tuhuma zisizo julikana maana hazijawekwa wazi kabisa...... kwa tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali dhidi ya Olesabaya ... tulitegemea hadi sasa ameshafikishwa mahakamani lakini si kukaa mahabusu...
Kwakuwa zimeshapita siku zaidi ya tatu ni wazi hakuna mlichonacho dhidi ya Sabaya na pengine watu wameshindwa kutoa ushahidi wa kilicho kuwa kinaongelewa na watu...... ni vyema akaachiwa huru msiogope kusema maana Mama kasema wazi msiogope kuachana na case ambazo hazina ushahidi.
Takukuru mnavyomchelewesha Olesabya kumfikisha mahakamani mnategeneza mianya ya kumbabikia case maana kwa tuhuma zilizokuwa zinatolewa dhidi ya Sabaya inakuwaje hadi sasa hamjamfikisha mahakamani na watu wanasema wana ushahidi ?
Mnakwama wapi? basi muachieni huru.
Tamko la mkurugenzi wa Takukuru
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Kwa hiyo unasema " irudiwe" hukuwepo...hili se.nge naskia lilikua linaenda the don arusha linapora wake za watu Kwa kutumia mabaunsa...Yani kudadeki lingenikuta Mimi..ningewapiga lenyewe na watu wake na kuwapora silaha...lilikutana na wanaume dhaifu.
Ningeyakata kungfu za ukweli ....na kuyapora silaha...wa tz waoga Sana...jitu linaiba hotel live...linapora watu hela..linapora wake za watu..wao wanaliacha Tu....hapana aisee..Mimi hata nikikutana nalo Leo nalichapa ipasavyo...sitojali...ningelikata mbo.ro lake la kimasai kudadeki ..
.Yani sikuwahi kukutana na show zake za ki.senge za kiporaji..nisingeliacha...Kwa hiyo unasema " irudiwe" hukuwepo
Takukuru wanahusika na jinai?Siyo tuhuma za rushwa,ana genge lake la fujo na kuvamia watu ,hao mabaunsa nao ni sehemu ya hilo genge
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe , hata wewe upo mawindoniKamanda Hamduni leo ni siku ya sita(6) toka uthibitishe kumkamata Olesabya na wenzie kwa tuhuma zisizo julikana maana hazijawekwa wazi kabisa...... kwa tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbali mbali dhidi ya Olesabaya ... tulitegemea hadi sasa ameshafikishwa mahakamani lakini si kukaa mahabusu...
Kwakuwa zimeshapita siku zaidi ya tatu ni wazi hakuna mlichonacho dhidi ya Sabaya na pengine watu wameshindwa kutoa ushahidi wa kilicho kuwa kinaongelewa na watu...... ni vyema akaachiwa huru msiogope kusema maana Mama kasema wazi msiogope kuachana na case ambazo hazina ushahidi.
Takukuru mnavyomchelewesha Olesabya kumfikisha mahakamani mnategeneza mianya ya kumbabikia case maana kwa tuhuma zilizokuwa zinatolewa dhidi ya Sabaya inakuwaje hadi sasa hamjamfikisha mahakamani na watu wanasema wana ushahidi ?
Mnakwama wapi? basi muachieni huru.
Tamko la mkurugenzi wa Takukuru
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Salum Hamduni AMETHIBITISHA kuwa wanamshikilia aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa maojiano tangu May 25 mwaka huu. Kamishna Hamduni amesema Sabaya hakukamatiwa Arusha kama vyombo mbalimbali vya habari vilivyoripoti, bali alikamatwa jijini Dar akiwa na watu wawili waliotambuliwa kuwa ni "mabaunsa" wake na wote wapo mahabusu kwa mahojiano. Amesema wanaendelea kuhojiwa na wakipatikana na kesi ya kujibu watafikishwa mahakamani.!
Now is mama's time bwashee!why now? sisi tumeshazoea
Mmmmm hiyo mahabusu ungejua acha tu ina AC na makochi....ni chumba tu cha kawaida mimi niliwahi kuhojiwa week nzima kama uko home tu ila sasa ukienda kisutu ukakosa dhamana ndio umeishaAendelee kushikwa kalio mahabusu