Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Mkuu kwani vipi? Ndani ya siku moja umeleta uzi huu huu mmoja mara mbili ila kwa title tofauti. Utafanya watu wafikiri kuwa una ajenda yako binafsi.

Kaa utulie na usubiri uchunguzi ukamilike na ndio utakaokuja na majibu kuwa ana hatia ama la.
Sawasawa...tuwaachie wenye dhamana na uchunguzi wafanye kazi yao
 

Ninapata wasi wasi kwanini umeliona hili sasa hivi wakati hizo clip unazosema zipo siku zote.
Ninakuomba uache uchunguzi ukamilike ndio uje na mada hii maana kwasasa bado hana hatia yoyote ndio maana yupo maabusu toka 25 may.
 
Kuna watu wana roho ya kishetani na wafitini kupitiliza.
Mimi naamini kwa sehemu kubwa shutuma za Sabaya zimepikwa.
Sababu wapika ni nawajua vizuri historia yao.

Tusisahau walishachoma ofisi moto na kusingizia ni upande wa utawala, wana tuhuma za kumwagia watu tindikali, walisha danganya kutekwa wafuasi wao na mengine mengi. Watu waliothubutu kufanya hayo watashindwa vipi kudanganya na kupika mazingira ya kumu implicate Sabaya ambaye ni mwiba mchungu wa kupata ubunge kiongozi wao?

Naamini kuna siku watz walio wengi watajua roho ya kiuaji aliyonayo kiongozi moja wa upinzani.
 


Huoni kuwa ni ajabu na kweli kuwa nchi nzima DC anayelelemikiwa awe Sabaya peke yake? Ebu tafakari.
 
Basi Na Paulo Makonda naye akamatwe ili haki itendeke
 
Danganya mengine tu, wakati ukimtetea mumeo, lakini suala la Ulaya, acha kulinganisha kifo na usingizi! Ingekua Ulaya, Sabaya asinge dumu uraiani kwa muda wote ule!
 
Hivi ni kazi ya DC kuwasaka wakwepa kodi? Nchi hii ina wajinga wengi sana

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Thread ya kipumbavu iliyojaa uchonganishi na ukabila.
Unadiriki kusema eti Melo kamuuzia Mushi JF!
 
Jamaa yenu upuuzi wake umefikia mwisho,sheria ifuate mkondo.
 
Itakuwa vyema ukijitokeza na kuungana na upande wa utetezi mahakamani iwapo atashitakiwa maana huko haya unayosema yatapimwa kwa uzito unaostahili. Hapa ni kama unapoteza muda.
 
Hofu yako nini? au nawe una interests zako. Hili la Sabaya, hata mtoto mdogo mwenye akili inayoweza kujitegemea analiona kuwa huyu alikuwa kiongozi wa aina yake kuwahi kutokea-uadilifu =0, uongozi=0, haki za binadamu=0, uungwana =0.
 
Panua vizuri, dawa ikuingie
 
Anawasaka wakwepa Kodi kwani yeye ni TRA au yeye ni polisi? Pia unayajua majukumu ya mkuu wa wilaya?........

Kuna clip mabaunsa wake wanawapiga watu nayeye akiwepo karibu tena ni usiku je hizo kodo mnadai usiku wa maneno? Na hizo kodi mnaenda dai na namba za UN?
 
Mkuu,
TRA walisema yule mfanyabiashara aliyefungiwa na Mhe., Alikuwa anafanya biashara kihali kabisaa
 
Ulitaka majambazi waendelee kukaa ofisini kwa mwamvuli wa uongozi
 
Hai wanaishi wachaga! na ndiko alikuwa DC! Kwa hiyo tuhuma nyingi zielekezwe na kufikiriwa katika muktadha wa wanahai. Acha upelelezi uibue ukweli. Hakuna haja ya kumlinda au kumuonea! Mkuu wa mkoa mstaafu Bi Ana Mgwira ni shahidi tosha kama hatutaki wanahai waseme.
Uporaji, Ubakaji, Ulawiti, utesaji na mauaji ni tuhuma tu acha vifanyiwe kazi. Mama SSH ni mtu mwelewa na vyombo vyake vipo makini nina imani hakuna influence ya uchama au ukabila itakayoharibu ushahidi.
 
Mleta mada nakuunga mkono ktk baadhi ya hoja zako hasa hili la Mods kuonesha mahaba ktk itikadi za kisiasa au kikabila humu JF na namna linavyoshughulikiwa na JF Moderators

Kumekuwa na nyuzi nyingi zenye elements ya ukabila na hasa kumponda na kumdhihaki Magufuli na kuonesha chuki dhidi ya kabila lake la wasukuma.
Matusi, kebehi yamekuwa mengi dhidi ya kabila la wasukuma na waanzisha nyuzi na Wachangiaji ni wale wale ila Mods wale hawachukui hatua yoyote

Ila cha ajabu juzi nyuzi iliyoletwa ikionesha namna Mbowe akiongea maneno yaliyojaa chuki ya kikabila dhidi ya Magufuli na Jamii ya wasukuma na huku akilitetea wazi wazi kabila lake la wachaga, na kwakuwa nyuzi ile Wachangiaji wengi sana walioneshwa kukerwa na maneno ya Mbowe basi MODS WAKAIONDOA HARAKA SANA ile thread
Sababu kubwa tu ni kuwa Mbowe na kabila lake wamepata negative response humu JF

Sasa bw Melo na Mods naombeni mtoe majibu ya wazi kwamba hii JF ni kwaajili ya watu wenye itikadi fulani tu za kisiasa na mlengo fulani wa kikabila..!????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…