Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Bila shaka wewe ni mkwewe au ulikuwa unanufaika nae kwa namna moja ama nyingine. Wacha vyombo husika vifanye kazi yake, kama yuko safi mbona haonewei mtu hapa....... naamini nae ana wanasheria, kila kitu kitakwenda sawa, acha kuwaza kitoto Tajiri Tanzanite
 
Wewe ni miongoni mwa mabausa wa Sabaya?
 
Kama unaamini hakua msafi acha uchunguzi ukamilike ndo uanze kulialia..
Na kwa nini hayo magazeti na wanaoposti tuhuma zake mitandaoni, wasisubiri Tume/ Kamati ikamaliza uchunguzi wake?
 
Ona hii kima
 
Mods huyu ni mkwe wa Sabaya anataka kuharibu ushahidi. Mwambie akalishe masaburi chini sindano ipenye!
 
Nikishaona mleta mada kama huyu paragraph zaidi ya nne. Najua ni wale uharo wa Hayati Shetani Magufuli. Mleta mada Kanye kwenye shimo la shetani wenu.
 
Kazi bado tunayo watanzania kwa mawazo Kama haya.
 

Jamaa Ana nguvu, hata akiwa magereza Ana wafuasi wanamtetea? Huyo mtu yanayomtokea Sio maamuzi ya mtu, ni matokeo ya kiwango cha ubaya alichofanya!
 
Unatete jambazi si bure haiwezekani Sabaya atuhumiwe na kulaumiwa na 80% ina maana watu wengi wameteseka kwa ajili yake, . Tusubirie tuone vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake
 
Huyu naye anatakiwa alawwitiwe na sabaya kama wasio na hatia wengi ndo angejua kucomment
 
Punguza kilio mkuu suala lipo kweny mahojiano na uchunguzi. So tulia tuli, kama ana kesi ya kujibu bas ni mpelampela kisutu
 
Ina Maana mpaka sasa hujui SABAYA ni JAMBAZI HATARI? AISEE,

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…