Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Kwamba mkuu wa wilaya anakusanya kodi TRA kazi yake ni ipi?
 
Sabaya naweza sema ni mpango wa serikali yaani serikali inauma na kupuliza kwa Sabaya
 
Je zile CCTV zilizomnasa akifanya uhalifu wake ni "urongo au maigizo?"
Je wale mabaunsa aliokuwa akizurula nao ni walinzi halali? Je walikuwa wakilipwa kwa kasma ipi? Acheni tanuru lisafishe dhahabu uchafu utoke...
Waacheni wafu wawazike wafu wao...
 
Usihofu. TAKUKURU hawawezi kupata ushahidi wa kumpeleka mahakamani. Na wakimpeleka mimi MwanaCCM nitaenda mahakamani kama shahidi kwa upande wake na TUTASHINDA!!!
 
Kila chenye uzuri kina ubaya ndani yake.
Mabaya yakizidi mema hapo ndio tatizo linapoanzia
 
Alimfreeze na kumuharass mno Mbowe h iyo iko uchi kila mtu aliona baba wa watu alitulia tu, bado wafanyabiashara aliowatuhumu isivyo ukwel unyang'anyi,kutembea na convoy kuuuubwa kama rais mdogo hahaaa ngoja na yeye akae ubaridini wamfreeze na kumuharass asikilizie huo mziki na Mimi nilikikuwa team Makufuli damu damu ila kwakweli watu walinizodoa sana kuhusu Sabaya kuniambia cheki krimu za mzee unayemsifia zinavyotesa watu Sabaya must pay kwa alichofanya ubaya hulipwa kwa ubaya.
 
Hizi nyuzi za Sabaya haziwezi kuutikisa mfumo wa nchi kwa namna yoyote ile.

Wakubwa wakiamua kukushughulikia hakuna wa kukuokoa. Yule Singa singa na mzee wa kihaya mpaka leo wapo ndani na ni watu wenye ushawishi mkubwa kuliko huyo dogo Sabaya.
 
Kwani yeye amekuwa nani mbona kuna wengi wasio na hatia wamesota mahabusu miaka bila kupelekwa mahakamani. Yeye kwa uovu alioufanya anastahili kusota huko miaka kumi
Nani ambae amesota Mahabusu Miaka mingi bila kufikishwa Mahakamani? Ukiona Hivyo Kuna wahuni Wachache Ambao Wako Polisi
 
Masela wa gereza la kisongo lazima wamtatue marinda maana najua ata wakuta tu machizi aliowabambikizia kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…