Mlishashindwa kabla ya UchaguziUnajitekenya eee ? Bc subiri watapiga picha hata viungo vyako vya sirini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlishashindwa kabla ya UchaguziUnajitekenya eee ? Bc subiri watapiga picha hata viungo vyako vya sirini
anaminywa mtuhumiwa na si vinginevyoUnaushahidi wa hilo? Kwanini tusikumije Pumbu wewe ili utupe taarifa zake
Ya kwelianaminywa mtuhumiwa na si vinginevyo
Mbowe ni jabali.... Yupo na atakuwepo tuMwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Yaani hawatokubali inyeshe mvua liwake jua kupoteza eneo hili kwani itakuwa aibu ya mwaka. Kwa CCM hapa wanataka kumpiga mchungaji na Kondoo watawanyike, wanajua kabisa ukitaka kumuua nyoka gonga kichwani....
NGUVU YA CCM.
Mipango ya Ushindi wa CCM unaanzia Kichwani kwa Ole Lengai Sabaya, yaani CCM kwa ujumla wanategemea Ole Sabaya awasaidie kumngoa Mbowe pale Hai. Sabaya ndiye DC anayeongoza eneo gumu kuliko yote kati ya maDC wote nchini yaani kupewa jukumu la kuongoza eneo ambalo anatokea Kiongozi mkuu wa Upinzani sio kazi ndogo.
Jukumu la pili alilopewa au alilojipa Ni la kuhakikisha Mbowe hashindi Hai jukumu ambalo Ni zito ambalo hata Bashiru Ally Kakurwa hawezi kulibeba.
Sabaya anapambana kweli matokeo yake anaweza kuumia au akaishinda hii vita, lazima impact itakuwa aidha aumie au ashinde. Niliwahi kusema Kama hatopata usaidizi huyu kwa Jasusi Mbowe ataonekana hafai hata U DC. Pale CCM nani anaweza kuja kuwaongoza watu wanaomuita Mbowe kaka na akaeleweka? Mbowe Hai sio Mbunge tu Bali Ni kaka yao Kama wanavyomuita.
Nguvu ya Pili ya CCM Ni kuwa Sabaya anajitahidi Sana kufanya Siasa na watu wa Tambarare. Siasa maendeleo, siku za karibuni tunaona barabara zikichongwa, hospital ikijengwa nk. Sabaya anajitoa sana kuhakikisha image ya Serikali na Chama inaelewaka Hai. Aidha kwa kutumia mbinu nzuri au mipango Michafu lakini anapambana sana.
UDHAIFU WA CCM
Udhaifu CCM ni kwamba imejisahau, wanamtegemea Mkuu wa Wilaya afanye Kila kitu. Haitawezekana peke yake awaletee Ushindi halafu pia Ni kinyume cha Sheria mkuu wa Wilaya kufanya Siasa za wazi. Ndio maana hata waosema ni yeye ametuma watu wamshambulie Lisu hawana ushahidi wa moja kwa moja.
Udhaifu wa pili Ni kwamba CCM Haina network ambayo Mbowe anayo. Nitaelezea hapa chini nitakapokuwa naelezea nguvu za Mbowe.
Udhaifu wa tatu ambao hauonekani Ni Kifo cha Mzee Mengi. At least Mengi alikuwa Ni mmojawapo ya watu ambao walikuwa wanaweza kuwaambia Viongozi wa Dini Jambo wakalisikia, au hata jamii yake (Wachaga) jambo na wakamsikia.
Udhaifu wa nne Mkoa wa Kilimanjaro Ni Mkoa ambao hauna Agenda ya kuombea kura. Yaani hakuna Jimbo ambalo utapata kura kwa kuahidi hospital, Au umeme, au maji au barabara. Hivi Ni vitu ambavyo vipo toka uhuru. CCM Mara nyingi imekuwa ikitumia agenda hizi kuombea kura kwenye majimbo ya Kilimanjaro hizi sio agenda.
NGUVU YA CHADEMA.
Mbowe karelax kabisa sidhani hata Kama anawaza Sana kuhusu Ushindi wake. Nguvu kubwa waliyoanayo Chadema Ni aina ya mgombea waliyenaye. Mbowe kwa Sasa ndiye mhimili wa Siasa za Upinzani nchini.
Uimara wa Pili wa Chadema Hai Ni network ambayo Mbowe anayo. Mbowe anaungwa mkono na taasisi za Kidini lipo chini ya capert na ndio wanaompa nguvu sana, Mbowe anaungwa mkono na wafanyabiashara wengi toka Hai, Mbowe anaungwa mkono na hata baadhi ya wanaccm waliopo Hai.
Uimara wa tatu ni desturi na Mila za Kabila la wachaga. Kabila hili likishamuamini mtu sio rahisi kuwabadili. Hawaogopi kujilipua kwa kitu wanachokipenda. Mbowe anapendwa Sana na jamii yake. Hawa ndio wanaomuitaga Kaka si rahisi kuwabadilisha mtizamo, watakuchekea usoni lakini kwenye Sanduku la kura watakuadhibu tu. Ndio maana Kabila hili linaongoza katika kuendesha Siasa za Upinzani. Ndio Kabila linalotoa Viongozi wengi wa vyama vya Upinzani nchini. Hii Ni hulka yao kwa maana hiyo ukitaka kuwawin lazima Kwanza wakupende na wakuamini.
Uimara wa nne wa Mbowe Ni kulitawala jukwaa kwa Hoja. Ukimruhusu huyu mtu akupige kwa Hoja atakuua kabisa.
UDHAIFU WA MBOWE.
Udhaifu mkubwa wa brother Mbowe hakuna Jambo kubwa ambalo amelifanya kwenye Jimbo lake.
Pili eneo analotokea si rafiki Sana kwa Siasa za sasa. Mbowe anatokea eneo la milimani, Kuna tetesi kuwa eneo la tambarare ambalo Lina watu wengi nao wameanza kuwaza kutoa mtu wao kuwa Mbunge. Hii Ni kwa sababu eneo hili halijaendelea kwa Sana Kama eneo la Milimani hivyo Wana hasira.
Udhaifu wa Tatu Mbowe amejikita zaidi kwenye siasa za kitaifa na kusahau watu wake. Huu ni udhaifu kwa wabunge wengi wa Upinzani.
Swali ninalojiuliza Sabaya atauweza huu Mbuyu ambao umeshindikana Miaka na Miaka?
Ukitaka kumshinda Mbowe kirahisi tenganisha urafiki wake na Kanisa, tenganisha urafiki wake na wafanyabiashara wa Hai. Mwisho kabisa CCM ndani ya Mkoa na nje ya Mkoa wakitaka kushinda Hai wamsaidie Sabaya, peke yake hatoweza.
Ole Mushi
0712702602.
We will see.....Maji utaita mma unazungumzia Mbowe wa 2010 katika siasa za 2020! Umechemka sana
ou are politically matured and knows politics, especially of Kilimanjaro.Yaani huyu Ole Mavi Mushi naona akili yake imejaa uchafuu..
Strike 1: Sabaya=Bashite,angalia matokeo ya Kigamboni!Rejection votes!
Strike 2: Mbowe kwa Hai ni Mungu,goodluck beating that!
Strike 3: Mbowe ni Michael Jordan of politics,Sabaya is a toddler in diapers compared to him!
What Sabaya will use?
Stealing votes?
Good luck with that too,Kilimanjaro sio Simiyu.....Muulize Davis Mosha,atakueleza vizuri!
lugha za maudhi kwa MATAGA, wanataka eti Mwambe au Sumaye ndio awe mwenyekiti, duuu, wapinzani mliona mbali sana.Mbowe ni jabali.... Yupo na atakuwepo tu
nimekupata mkuu, pamoja sana, karibu HC Miembeni hapa .Soma vizuri, wameaminishwa hivyo na wengi wanadhani ni kweli, japo sio hivyo. soma vizuri majibu ya bandiko langu.
Makonda tuko naye mtaani ila hatumfanyi chochote,..kipindi kile kila MTU alikuwa anajiapiza huyu jamaa akiingia mtaani blablahblahh..ila jamaa ndio kwaaaanza anapiga self na akina Pierre mtaani hamfanyi kitu.Sabaya hana lolote zaidi ya kiburi na roho mbaya kama mfuasi wa Ibilisi.
Yaani kati ya watu wanaoinajisi taasisi ya urais iliyomteua, basi ni Sabaya.
Kuna maisha baada ya uongozi, naamini iko siku tutakuwa naye street.
Mimi CCM ila nachukia sana viongozi wanaofanya siasa za kukomoana na visasi na ulaghai
Ni gaidi, mhuni, tapeli lenye ku foji kitambulisho cha usalama wa taifa.Acha uongo wa kijinga kama angekua gaidi wewe ungekuepo hapa hadi sahizi? Unaongopa kwa faida ya nani?
Hata bwana mdogo Nape nnauye amesema twende kwa speed hiyo hiyoNimpongeze DC Saabaya kwa kile anachokifanya pale Hai.
Hizi siasa za zomea zomea ziliasisiwa na chadema, nakumbuka Magufuli amewahi kuzomewa na wafuasi wa chadema Mbeya, keo inageukia kwao wanaanza kulialia.
mbona hawezi anajidanganya anafikili uchaguzi mkuu ni mchezo mchezo na mshauri atulie haitakua na haiezi toke na imekuaMwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Yaani hawatokubali inyeshe mvua liwake jua kupoteza eneo hili kwani itakuwa aibu ya mwaka. Kwa CCM hapa wanataka kumpiga mchungaji na Kondoo watawanyike, wanajua kabisa ukitaka kumuua nyoka gonga kichwani....
NGUVU YA CCM.
Mipango ya Ushindi wa CCM unaanzia Kichwani kwa Ole Lengai Sabaya, yaani CCM kwa ujumla wanategemea Ole Sabaya awasaidie kumngoa Mbowe pale Hai. Sabaya ndiye DC anayeongoza eneo gumu kuliko yote kati ya maDC wote nchini yaani kupewa jukumu la kuongoza eneo ambalo anatokea Kiongozi mkuu wa Upinzani sio kazi ndogo.
Jukumu la pili alilopewa au alilojipa Ni la kuhakikisha Mbowe hashindi Hai jukumu ambalo Ni zito ambalo hata Bashiru Ally Kakurwa hawezi kulibeba.
Sabaya anapambana kweli matokeo yake anaweza kuumia au akaishinda hii vita, lazima impact itakuwa aidha aumie au ashinde. Niliwahi kusema Kama hatopata usaidizi huyu kwa Jasusi Mbowe ataonekana hafai hata U DC. Pale CCM nani anaweza kuja kuwaongoza watu wanaomuita Mbowe kaka na akaeleweka? Mbowe Hai sio Mbunge tu Bali Ni kaka yao Kama wanavyomuita.
Nguvu ya Pili ya CCM Ni kuwa Sabaya anajitahidi Sana kufanya Siasa na watu wa Tambarare. Siasa maendeleo, siku za karibuni tunaona barabara zikichongwa, hospital ikijengwa nk. Sabaya anajitoa sana kuhakikisha image ya Serikali na Chama inaelewaka Hai. Aidha kwa kutumia mbinu nzuri au mipango Michafu lakini anapambana sana.
UDHAIFU WA CCM
Udhaifu CCM ni kwamba imejisahau, wanamtegemea Mkuu wa Wilaya afanye Kila kitu. Haitawezekana peke yake awaletee Ushindi halafu pia Ni kinyume cha Sheria mkuu wa Wilaya kufanya Siasa za wazi. Ndio maana hata waosema ni yeye ametuma watu wamshambulie Lisu hawana ushahidi wa moja kwa moja.
Udhaifu wa pili Ni kwamba CCM Haina network ambayo Mbowe anayo. Nitaelezea hapa chini nitakapokuwa naelezea nguvu za Mbowe.
Udhaifu wa tatu ambao hauonekani Ni Kifo cha Mzee Mengi. At least Mengi alikuwa Ni mmojawapo ya watu ambao walikuwa wanaweza kuwaambia Viongozi wa Dini Jambo wakalisikia, au hata jamii yake (Wachaga) jambo na wakamsikia.
Udhaifu wa nne Mkoa wa Kilimanjaro Ni Mkoa ambao hauna Agenda ya kuombea kura. Yaani hakuna Jimbo ambalo utapata kura kwa kuahidi hospital, Au umeme, au maji au barabara. Hivi Ni vitu ambavyo vipo toka uhuru. CCM Mara nyingi imekuwa ikitumia agenda hizi kuombea kura kwenye majimbo ya Kilimanjaro hizi sio agenda.
NGUVU YA CHADEMA.
Mbowe karelax kabisa sidhani hata Kama anawaza Sana kuhusu Ushindi wake. Nguvu kubwa waliyoanayo Chadema Ni aina ya mgombea waliyenaye. Mbowe kwa Sasa ndiye mhimili wa Siasa za Upinzani nchini.
Uimara wa Pili wa Chadema Hai Ni network ambayo Mbowe anayo. Mbowe anaungwa mkono na taasisi za Kidini lipo chini ya capert na ndio wanaompa nguvu sana, Mbowe anaungwa mkono na wafanyabiashara wengi toka Hai, Mbowe anaungwa mkono na hata baadhi ya wanaccm waliopo Hai.
Uimara wa tatu ni desturi na Mila za Kabila la wachaga. Kabila hili likishamuamini mtu sio rahisi kuwabadili. Hawaogopi kujilipua kwa kitu wanachokipenda. Mbowe anapendwa Sana na jamii yake. Hawa ndio wanaomuitaga Kaka si rahisi kuwabadilisha mtizamo, watakuchekea usoni lakini kwenye Sanduku la kura watakuadhibu tu. Ndio maana Kabila hili linaongoza katika kuendesha Siasa za Upinzani. Ndio Kabila linalotoa Viongozi wengi wa vyama vya Upinzani nchini. Hii Ni hulka yao kwa maana hiyo ukitaka kuwawin lazima Kwanza wakupende na wakuamini.
Uimara wa nne wa Mbowe Ni kulitawala jukwaa kwa Hoja. Ukimruhusu huyu mtu akupige kwa Hoja atakuua kabisa.
UDHAIFU WA MBOWE.
Udhaifu mkubwa wa brother Mbowe hakuna Jambo kubwa ambalo amelifanya kwenye Jimbo lake.
Pili eneo analotokea si rafiki Sana kwa Siasa za sasa. Mbowe anatokea eneo la milimani, Kuna tetesi kuwa eneo la tambarare ambalo Lina watu wengi nao wameanza kuwaza kutoa mtu wao kuwa Mbunge. Hii Ni kwa sababu eneo hili halijaendelea kwa Sana Kama eneo la Milimani hivyo Wana hasira.
Udhaifu wa Tatu Mbowe amejikita zaidi kwenye siasa za kitaifa na kusahau watu wake. Huu ni udhaifu kwa wabunge wengi wa Upinzani.
Swali ninalojiuliza Sabaya atauweza huu Mbuyu ambao umeshindikana Miaka na Miaka?
Ukitaka kumshinda Mbowe kirahisi tenganisha urafiki wake na Kanisa, tenganisha urafiki wake na wafanyabiashara wa Hai. Mwisho kabisa CCM ndani ya Mkoa na nje ya Mkoa wakitaka kushinda Hai wamsaidie Sabaya, peke yake hatoweza.
Ole Mushi
0712702602.
Hiyo tambarare ni mashamba ya kulima wakazi wachache,masama,machame,maili 6,lyamungo ndio waamuzi wa kura za mbowe,ambalo hujui koo ya mbowe ni koo kubwa machame....mgombea wa ccm anajulikana lumumba na chato tuMwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni. Yaani hawatokubali inyeshe mvua liwake jua kupoteza eneo hili kwani itakuwa aibu ya mwaka. Kwa CCM hapa wanataka kumpiga mchungaji na Kondoo watawanyike, wanajua kabisa ukitaka kumuua nyoka gonga kichwani....
NGUVU YA CCM.
Mipango ya Ushindi wa CCM unaanzia Kichwani kwa Ole Lengai Sabaya, yaani CCM kwa ujumla wanategemea Ole Sabaya awasaidie kumngoa Mbowe pale Hai. Sabaya ndiye DC anayeongoza eneo gumu kuliko yote kati ya maDC wote nchini yaani kupewa jukumu la kuongoza eneo ambalo anatokea Kiongozi mkuu wa Upinzani sio kazi ndogo.
Jukumu la pili alilopewa au alilojipa Ni la kuhakikisha Mbowe hashindi Hai jukumu ambalo Ni zito ambalo hata Bashiru Ally Kakurwa hawezi kulibeba.
Sabaya anapambana kweli matokeo yake anaweza kuumia au akaishinda hii vita, lazima impact itakuwa aidha aumie au ashinde. Niliwahi kusema Kama hatopata usaidizi huyu kwa Jasusi Mbowe ataonekana hafai hata U DC. Pale CCM nani anaweza kuja kuwaongoza watu wanaomuita Mbowe kaka na akaeleweka? Mbowe Hai sio Mbunge tu Bali Ni kaka yao Kama wanavyomuita.
Nguvu ya Pili ya CCM Ni kuwa Sabaya anajitahidi Sana kufanya Siasa na watu wa Tambarare. Siasa maendeleo, siku za karibuni tunaona barabara zikichongwa, hospital ikijengwa nk. Sabaya anajitoa sana kuhakikisha image ya Serikali na Chama inaelewaka Hai. Aidha kwa kutumia mbinu nzuri au mipango Michafu lakini anapambana sana.
UDHAIFU WA CCM
Udhaifu CCM ni kwamba imejisahau, wanamtegemea Mkuu wa Wilaya afanye Kila kitu. Haitawezekana peke yake awaletee Ushindi halafu pia Ni kinyume cha Sheria mkuu wa Wilaya kufanya Siasa za wazi. Ndio maana hata waosema ni yeye ametuma watu wamshambulie Lisu hawana ushahidi wa moja kwa moja.
Udhaifu wa pili Ni kwamba CCM Haina network ambayo Mbowe anayo. Nitaelezea hapa chini nitakapokuwa naelezea nguvu za Mbowe.
Udhaifu wa tatu ambao hauonekani Ni Kifo cha Mzee Mengi. At least Mengi alikuwa Ni mmojawapo ya watu ambao walikuwa wanaweza kuwaambia Viongozi wa Dini Jambo wakalisikia, au hata jamii yake (Wachaga) jambo na wakamsikia.
Udhaifu wa nne Mkoa wa Kilimanjaro Ni Mkoa ambao hauna Agenda ya kuombea kura. Yaani hakuna Jimbo ambalo utapata kura kwa kuahidi hospital, Au umeme, au maji au barabara. Hivi Ni vitu ambavyo vipo toka uhuru. CCM Mara nyingi imekuwa ikitumia agenda hizi kuombea kura kwenye majimbo ya Kilimanjaro hizi sio agenda.
NGUVU YA CHADEMA.
Mbowe karelax kabisa sidhani hata Kama anawaza Sana kuhusu Ushindi wake. Nguvu kubwa waliyoanayo Chadema Ni aina ya mgombea waliyenaye. Mbowe kwa Sasa ndiye mhimili wa Siasa za Upinzani nchini.
Uimara wa Pili wa Chadema Hai Ni network ambayo Mbowe anayo. Mbowe anaungwa mkono na taasisi za Kidini lipo chini ya capert na ndio wanaompa nguvu sana, Mbowe anaungwa mkono na wafanyabiashara wengi toka Hai, Mbowe anaungwa mkono na hata baadhi ya wanaccm waliopo Hai.
Uimara wa tatu ni desturi na Mila za Kabila la wachaga. Kabila hili likishamuamini mtu sio rahisi kuwabadili. Hawaogopi kujilipua kwa kitu wanachokipenda. Mbowe anapendwa Sana na jamii yake. Hawa ndio wanaomuitaga Kaka si rahisi kuwabadilisha mtizamo, watakuchekea usoni lakini kwenye Sanduku la kura watakuadhibu tu. Ndio maana Kabila hili linaongoza katika kuendesha Siasa za Upinzani. Ndio Kabila linalotoa Viongozi wengi wa vyama vya Upinzani nchini. Hii Ni hulka yao kwa maana hiyo ukitaka kuwawin lazima Kwanza wakupende na wakuamini.
Uimara wa nne wa Mbowe Ni kulitawala jukwaa kwa Hoja. Ukimruhusu huyu mtu akupige kwa Hoja atakuua kabisa.
UDHAIFU WA MBOWE.
Udhaifu mkubwa wa brother Mbowe hakuna Jambo kubwa ambalo amelifanya kwenye Jimbo lake.
Pili eneo analotokea si rafiki Sana kwa Siasa za sasa. Mbowe anatokea eneo la milimani, Kuna tetesi kuwa eneo la tambarare ambalo Lina watu wengi nao wameanza kuwaza kutoa mtu wao kuwa Mbunge. Hii Ni kwa sababu eneo hili halijaendelea kwa Sana Kama eneo la Milimani hivyo Wana hasira.
Udhaifu wa Tatu Mbowe amejikita zaidi kwenye siasa za kitaifa na kusahau watu wake. Huu ni udhaifu kwa wabunge wengi wa Upinzani.
Swali ninalojiuliza Sabaya atauweza huu Mbuyu ambao umeshindikana Miaka na Miaka?
Ukitaka kumshinda Mbowe kirahisi tenganisha urafiki wake na Kanisa, tenganisha urafiki wake na wafanyabiashara wa Hai. Mwisho kabisa CCM ndani ya Mkoa na nje ya Mkoa wakitaka kushinda Hai wamsaidie Sabaya, peke yake hatoweza.
Ole Mushi
0712702602.
Kazi ya ubunge kajenga njia ya treniSaashisha Mafuwe anatufaa Hai.CCM mpatieni huyo huyo aliyeongoza kura za maoni.
Huyo kijana kafanya kazi nzuri ya ubunge baada ya kuona Mbowe hakuna anachofanya.
Pia hakutumia rushwa kuongoza kura za maoni.
Jamaa hajui loloteQ
Kibongoto na Sanya juu ziko jimbo la Siha.
Uru,kibosho,sanya juu,kibongoto haziko jimbo la hai.hujui siasa za uchagani jomba hakuna anaeitaka ccm hata mtoto...watu wa huko walishafika nchi ya ahadi enzi za ukoloni.kipi kipya ccm imewaletea zaidi ya porojo tu.Ni kweli kabisa, lakini ni maeneo Mbowe ana influence kubwa, wakazi wengi wanaasili ya Machame.
y
ou are politically matured and knows politics, especially of Kilimanjaro.
Sabaya has nothing to do than killing and order abduction of opposition.
I know Chagga, especially Palestinians cannot agree with such'a folly things
unawafurahisha wasomaji JF. Sisi wakazi wa Machame tunakwambia mteremko haupo. Madiwani wote wa Chadema ambao Mbowe amekuwa akiwatumia kwa kampeni wamehamia CCM Na wamepitishwa kugombea.Uru,kibosho,sanya juu,kibongoto haziko jimbo la hai.hujui siasa za uchagani jomba hakuna anaeitaka ccm hata mtoto...watu wa huko walishafika nchi ya ahadi enzi za ukoloni.kipi kipya ccm imewaletea zaidi ya porojo tu.
Huko upareni kwenye ccm ndio kwenye maendeleo duni,wamekua na magembe miaka 15 hawana jipya lolote.narudi hizo ngonjera zipelekeni chato
Wasaliti hawana nafasi kwa wananchi,hizo ni kelele za dc wenu mjingaunawafurahisha wasomaji JF. Sisi wakazi wa Machame tunakwambia mteremko haupo. Madiwani wote wa Chadema ambao Mbowe amekuwa akiwatumia kwa kampeni wamehamia CCM Na wamepitishwa kugombea.
Serikali yote ya Mtaa wanayo CCM na wote wamekuwa Chadema kwa muda mrefu na hata kampeni hapa sasa hivi sio baridi. Njoo ujionee mwenyewe. Unachukia ukweli?.