Uchaguzi 2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

Mwambieni asahau hio.tutaamua tutakapotaka lakini siyo kwahuyo mwarusha. Freeman anaendelea kuwa mbunge wetuu
 
Ole sabaya ni gaidi limejificha CCM. Mmewafunga masheikh wa uamisho mkamuacha sabaya uraiani. sabaya vurugu zote zinazotokea pale zinaratibiwa na yeye
Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza
 
Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza
Nimeambiwa hii kesi ya pili ndiyo mbaya zaidi kwani ushahidi wake hata bush lawyer anaweza mhukumu ana hatia. Atakula 15 mingine na kuna kesi nyingine ya Moshi yaja.
 
Back
Top Bottom