Uchaguzi 2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

Mbowe ni jabali.... Yupo na atakuwepo tu
 
y
ou are politically matured and knows politics, especially of Kilimanjaro.

Sabaya has nothing to do than killing and order abduction of opposition.
I know Chagga, especially Palestinians cannot agree with such'a folly things
 
Makonda tuko naye mtaani ila hatumfanyi chochote,..kipindi kile kila MTU alikuwa anajiapiza huyu jamaa akiingia mtaani blablahblahh..ila jamaa ndio kwaaaanza anapiga self na akina Pierre mtaani hamfanyi kitu.
Watanzania ni waoga na wanafki sana-hakuna lolote tunalojiapiza na kulitekeleza.
Anyway-mitanzania ndivyo tulivyo.
 
Sabaya siyo mtu wa kuweza kuwashawishi wapigakura wa Hai kuacha kumpigia kura Mbowe. Atatumia hoja gani yenye mashiko? Ukweli ni kwamba uamuzi tu wa kuwapelekea wananchi wa Hai kiongozi aina ya Sabaya unaweza ukaghagarimu kura nyingi. Wananchi wa Hai wanahitaji maendeleo; siasa uchwara. Mbowe atashindwa tu kwa uhuni na siyo kwenye sanduku la kura.
 
Nimpongeze DC Saabaya kwa kile anachokifanya pale Hai.

Hizi siasa za zomea zomea ziliasisiwa na chadema, nakumbuka Magufuli amewahi kuzomewa na wafuasi wa chadema Mbeya, keo inageukia kwao wanaanza kulialia.
Hata bwana mdogo Nape nnauye amesema twende kwa speed hiyo hiyo
 
mbona hawezi anajidanganya anafikili uchaguzi mkuu ni mchezo mchezo na mshauri atulie haitakua na haiezi toke na imekua
 
Hiyo tambarare ni mashamba ya kulima wakazi wachache,masama,machame,maili 6,lyamungo ndio waamuzi wa kura za mbowe,ambalo hujui koo ya mbowe ni koo kubwa machame....mgombea wa ccm anajulikana lumumba na chato tu
 
Saashisha Mafuwe anatufaa Hai.CCM mpatieni huyo huyo aliyeongoza kura za maoni.
Huyo kijana kafanya kazi nzuri ya ubunge baada ya kuona Mbowe hakuna anachofanya.
Pia hakutumia rushwa kuongoza kura za maoni.
Kazi ya ubunge kajenga njia ya treni
 
Ni kweli kabisa, lakini ni maeneo Mbowe ana influence kubwa, wakazi wengi wanaasili ya Machame.
Uru,kibosho,sanya juu,kibongoto haziko jimbo la hai.hujui siasa za uchagani jomba hakuna anaeitaka ccm hata mtoto...watu wa huko walishafika nchi ya ahadi enzi za ukoloni.kipi kipya ccm imewaletea zaidi ya porojo tu.
Huko upareni kwenye ccm ndio kwenye maendeleo duni,wamekua na magembe miaka 15 hawana jipya lolote.narudi hizo ngonjera zipelekeni chato
 
y

ou are politically matured and knows politics, especially of Kilimanjaro.

Sabaya has nothing to do than killing and order abduction of opposition.
I know Chagga, especially Palestinians cannot agree with such'a folly things

The political setuation is different today, the weather has changed so much this time, Mbowe should work hard and with total discipline.

The entire campaign machinery of chadema which used to work at grass root level in Hai Constituency has crossed to CCM.

The entire former grassroot hiarach of Chadema went to join CCM. All Councillors 20 of them are now members of CCM and are likely to be cleared to contest under CCM.
 
unawafurahisha wasomaji JF. Sisi wakazi wa Machame tunakwambia mteremko haupo. Madiwani wote wa Chadema ambao Mbowe amekuwa akiwatumia kwa kampeni wamehamia CCM Na wamepitishwa kugombea.

Serikali yote ya Mtaa wanayo CCM na wote wamekuwa Chadema kwa muda mrefu na hata kampeni hapa sasa hivi sio baridi. Njoo ujionee mwenyewe. Unachukia ukweli?.
 
Wasaliti hawana nafasi kwa wananchi,hizo ni kelele za dc wenu mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…