Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,356 Reaction score 38,922 Aug 17, 2020 #81 Mwambieni asahau hio.tutaamua tutakapotaka lakini siyo kwahuyo mwarusha. Freeman anaendelea kuwa mbunge wetuu
Mwambieni asahau hio.tutaamua tutakapotaka lakini siyo kwahuyo mwarusha. Freeman anaendelea kuwa mbunge wetuu
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Oct 17, 2021 #82 lolypop said: Ole sabaya ni gaidi limejificha CCM. Mmewafunga masheikh wa uamisho mkamuacha sabaya uraiani. sabaya vurugu zote zinazotokea pale zinaratibiwa na yeye Click to expand... Muda ni mwl mzuri sana
lolypop said: Ole sabaya ni gaidi limejificha CCM. Mmewafunga masheikh wa uamisho mkamuacha sabaya uraiani. sabaya vurugu zote zinazotokea pale zinaratibiwa na yeye Click to expand... Muda ni mwl mzuri sana
Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Oct 17, 2021 Thread starter #83 lolypop said: Ole sabaya ni gaidi limejificha CCM. Mmewafunga masheikh wa uamisho mkamuacha sabaya uraiani. sabaya vurugu zote zinazotokea pale zinaratibiwa na yeye Click to expand... Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza
lolypop said: Ole sabaya ni gaidi limejificha CCM. Mmewafunga masheikh wa uamisho mkamuacha sabaya uraiani. sabaya vurugu zote zinazotokea pale zinaratibiwa na yeye Click to expand... Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Oct 17, 2021 #84 Jaji Mfawidhi said: Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza Click to expand... Nimeambiwa hii kesi ya pili ndiyo mbaya zaidi kwani ushahidi wake hata bush lawyer anaweza mhukumu ana hatia. Atakula 15 mingine na kuna kesi nyingine ya Moshi yaja.
Jaji Mfawidhi said: Yametima, 30 years hazimtoshi ila kwakuwa atakula chakula cha bure miaka 90 basi ale hizo 30 kwanza Click to expand... Nimeambiwa hii kesi ya pili ndiyo mbaya zaidi kwani ushahidi wake hata bush lawyer anaweza mhukumu ana hatia. Atakula 15 mingine na kuna kesi nyingine ya Moshi yaja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 17, 2021 #85 Walifanikiwa na yashapita...