Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

Mimi kinachoniuma ni mama kumsimamisha sabaya kazi eti kufanya ucunguzi. Nina hakika jpm angekua hai asingefanya kitu kama hicho kwa mtumishi kama sabaya. Upinzani wana hila na visasi kiongozi kama hana msimamo wa kijpm au ni mshirika wa itikadi za wapinzani kama chadema ndio unaweza kumsimamisha mwanamapinduzi kama sabaya eti kumchunguza.
 
Hichi unachoongea hapa bwana Sabaya ulikiongea pia ukiwa clouds lakini haikusaidia
Tunasema kwamba legacy haitetewi
We kaa hapo nyumbani na familia utulie kwa kuwa kazi ulishaifanya mema yatakufata hapohapo nyumbani na utainuliwa zaidi na siyo kuendelea kutumia nguvu kuwasemea wanyonge acha wanyonge wenyewe waseme
 
Kitu ambacho ukijui ni kwamba jambazi akisikia mwenzie kaiba lazima alale naye mbele maana anajua hiyo ni njia mojawapo ya kujisafisha na kuonekana yeye ni mtu mwema
 
Jambo moja ambalo umekiri kwenye Andiko Sabaya hakuwa mfuasi wa utawala wa sheria Wala utawala Bora.

Alikua na vyombo vyote hakuvitumia Bali yeye aliamua kuwa police, DPP na mahakama na ndio maana imepelekwa yote hata Kama alikua na Nia njema pasipo kufuata Sheria na taratibu Basi huo ni uonevu.

Pili aliwahi kukiri hadharani yeye ni mhuni tu. Vuatilia clip ya Lema
 
Kumtetea huyu bwana lazima uwe na akili kama za Ndugai
Naye mgogo kakaa kimya, hataki shiriki,
ID mpya za kumwaga.
Mabaunsa wake wote wako nyuma ya keyboard, bahati mbaya mpaka sasa hakuna anayeandika, DC wa Hai alienda kufanya nini dukani Arusha.
Yale ndiyo majukumu yake?

Everyday is Saturday.............................. 😎
 

Ww ni wale mliokuwa mnatumika na Sabaya kufanya udhalimu, sasa mnajua mkono wa sheria utawakamata mnaanza kuleta propaganda za kujilinda. Mtaishia jela ww na jambazi Sabaya.
 
Makosa ya sabaya mengi ni ya kukuzwa na mengine ni ya kutengenezwa kabisa.
Hakuna tuhuma za msingi juu ya Sabaya.
Shida ya Sabaya na hata RC Byakanwa ni mwenyekiti wa kudumu. Hawana lolote hawa juu ya Sabaya. Na wakae wakijua Sabaya baada ya muda atapangiwa majukumu mengine.
 
Umesahau kuweka NAMBA ya simu mkuu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kiume mnatumiwa na kakijana kadogo kuelezea ujinga wake ili mpate mlo wa siku.
Kwanza pumbavu zenu nyinyi, kama kweli wewe una mabinti basi hii ni hasara kwa hao mabinti kuwa na baba kiazi kiasi hiki.
Unataka watu wasimtuhumu kwakuwa uchunguzi unaendelea ila ulivyo mjinga unamsafisha kabla ya huo uchunguzi.
 
Huyo mganga/ mchawi mnaemtegemea anawadanganya anatawamalizia hela zenu zile bl 3. CCTV mlisahau kuzima pia unakumbuka eehh
 
Saambaya tulikuonya mara kwa mara ukashupaza shingo. Sasa tulia omba Mungu wako nyakati hizi kabla hujahamishia makazi yako Gerezani.
 
Hata Trump alikuwa na chawa wake waliojiweka rehani maisha yao ili kumtetea
Ole Mbaya ni zaidi ya Nduli Idi Amini
 
Tumekusikia mrs sabaya or mrs jambazi
 
Maelezo marefuuuu hoja kijiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…