Kwa lipi?Kwanini asituhumiwe Jokate au hata Dc wa Tunduru
Kilimo cha spinachKwa lipi?
Kati yake na wale watu wa Qnet aliowakamata nani tapeli?Sabaya ni jambazi hakuna ubishi, mporaji kwa kutumia silaha anatakiwa afunguliwe kesi ya armed robbery.
sasa kwa nn hao chadema ambao unadai ni majambazi na wahalifu hawajafungwa.?Chadema ni genge LA majambazi na wahalifu. Ole Sabaya alilijua hilo na ndio maana kama Mwenyekiti wa Kamati Ulinzi na Usalama wa Wilaya alipambana nao kisawasawa. Hasira za kushughulikiwa wamezihamishia mitandaoni na magazeti uchwara! Hawatashinda!
Chadema ni chama cha siasa Kama ilivo vyama vingine Kama ccm,tlp,tadea na vingine vingi tuheshimu itikadi za watu Kuna watanzania wenzetu zaidi ya million ni wanachama wa hio taasisi...Chadema ni genge LA majambazi na wahalifu. Ole Sabaya alilijua hilo na ndio maana kama Mwenyekiti wa Kamati Ulinzi na Usalama wa Wilaya alipambana nao kisawasawa. Hasira za kushughulikiwa wamezihamishia mitandaoni na magazeti uchwara! Hawatashinda!
MATAGA wamekuwa wananchii?SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai, ambako mimi nilikuwa na mabinti zangu wiwili wanaosoma pale mmoja mwaka wa kwanza mwingine wa pili.
Tukio lile la urejeshaji wa ada zilizokuwa zimeibwa kitaalam kwa kutumia mifumo ya kibenki na kupelekea wanafunzi kupatiwa payslips zilizodurufiwa na wajanja wa benki fulani, mhasibu wa chuo na wakala wa benki zilisababisha upotevu wa takribani milioni 76, hapo ndio nilimjua Ole Sabaya baada ya kuingilia na kuhakikisha taasisi za wale wahusika zinazilipa deni lile, ndio ilifungua ukurasa wa mimi kujua huyu mtu ni very potential kwenye taifa letu.
Sasa twende kwenye mada, Nampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutumia busara ya Kumsimamisha na kuruhusu uchunguzi wakujua pande zote mbili zinamasaibu gani, lakini wameibuka mahakimu walioamua kutoa hukumu zao jinsi waonavyo wao kutokana na machungu yao ya kisiasa mwaka 2020, imefikia hatua watu wamekodi kurasa za gazeti la Raia Mwema kuandika propaganda zao ili kushinikiza DC huyo aondolewe kazini kwa tuhuma za mitandaoni na chuki binafsi za matapeli aliowahi kuwashugulikia wakiongozwa na Cuthbert Swai.
Pili, Sabaya ametenda mambo mengi sana pale hai ya kudhibiti uhalifu ukitaka kujiridhisha pitia mtandao wa YouTube ushuhudie.
Katika kazi hizo amejizolea maadui wenye nguvu kwasababu aligusa matapeli wenye connection na fedha, pia amejizolea kundi kubwa la wanyonge wasiokuwa na connection kubwa ya kusema katika mitandao na wasiokuwa na uwezo wa kununua kurasa kwenye magazeti, hivyo vita hapa inachezeshwa kitaalamu sana ambapo wanasiasa wenye visasi wamelitafuta lile kundi la matapeli na kulipa mbinu na kulisogeza kwa wataalam wa propaganda ili lijaribu kulipa kisasi na kuwasaidia wanasiasa hao walau kuhema maana ilikuwa hali mbaya kwao endapo Sabaya angeendelea ku-exists katika ukanda wao.
Mimi binafsi siingilii siasa zao zilizopita bali nawakumbusha tu wenye mamlaka kuwa Ole Sabaya anayomakundi mawili alioyatumikia kwanini linasikilizwa kundi lililojiungamanisha na wanasiasa wenye chuki na visasi?
Kwanini kundi la wananchi waliotendewa haki halipewi kipaumbele? Au kwa kuwa halina uwezo wa kuajiri wapika majungu wa kuandika mitandaoni? Au kwa kuwa halina uwezo wa kulipia kurasa za magazeti za kuandika mema ya mtu wao?
Tatu, kuna kundi limetokea likijaribu kudhibiti Sabaya asipate utetezi kabisa mahali popote hii ilianza siku alipohojiwa clouds Tv na sasa hawataki watu wamsemee mema aliofanya, wamefika hatua wanadai utetezi juu ya sabaya unaratibiwa na mwenyewe?
Hahaha inachekesha, Mtu mnaesema amekamatwa yuko lokapu anaweza vipi kuratibu masuala ya nje? Kwa waliowahi ingia lupango wanafahamu kuwa hilo ni ngumu mno kutokea, Nyie andikeni mlivyoagizwa na mabosi wenu kuandika lakini acheni demokrasia ya watu wengine kuandika iwepo.
Msimpangie Rais Samia, anaclear doubts zenu juu ya Sabaya msi-take advantage ya kumpangia matokeo ya uchunguzi yaweje, acheni maombi yetu wanyonge yatende kazi ya kufuta uongo za uzandiki mlioutengeneza kwa muda mrefu.
Kumbukeni Kila penye Ukweli, Uongo hujitenga Pembeni. Utafika wasaa wa Uongo kujitenga na ukweli utajidhihirisha, Kwa maana Uongo Unasafiri maili nyingi kwa Kwenda duniani Kabla Hata Ukweli Haujaamka.Ni suala la Muda tu.
Wasalaam Anatory Massawe.
huyuhuyu sabaya wa juzi in politics, hahaha Sasa kaliwa kichwa tutaona hiyo level yake nyingine.....na harudi ndo kashajimaliza kisiasaMwambieni Cuthbert swai, mbowe na lema ,Sabaya ni level ingine
DOSARI NDOGO,? kuchoma watu misumari, kutaka kumbaka Nandy, kuunda genge la utekaji nyara wamachame. kupora fedha arusha, hilo ni doa dogo? kubwa ni lipi mkuu?Sabaya kwene hili hachomoki Yani kiongozi wa umma hata uwe na mazuri mangapi ila dosari ndogo za maadili ya kiutumishi zinakupiga chini,Yani like it or not sabaya hachomoki
Unachofanya Anatory Massawe, siyo kitu kipya.SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai, ambako mimi nilikuwa na mabinti zangu wiwili wanaosoma pale mmoja mwaka wa kwanza mwingine wa pili.
Tukio lile la urejeshaji wa ada zilizokuwa zimeibwa kitaalam kwa kutumia mifumo ya kibenki na kupelekea wanafunzi kupatiwa payslips zilizodurufiwa na wajanja wa benki fulani, mhasibu wa chuo na wakala wa benki zilisababisha upotevu wa takribani milioni 76, hapo ndio nilimjua Ole Sabaya baada ya kuingilia na kuhakikisha taasisi za wale wahusika zinazilipa deni lile, ndio ilifungua ukurasa wa mimi kujua huyu mtu ni very potential kwenye taifa letu.
Sasa twende kwenye mada, Nampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutumia busara ya Kumsimamisha na kuruhusu uchunguzi wakujua pande zote mbili zinamasaibu gani, lakini wameibuka mahakimu walioamua kutoa hukumu zao jinsi waonavyo wao kutokana na machungu yao ya kisiasa mwaka 2020, imefikia hatua watu wamekodi kurasa za gazeti la Raia Mwema kuandika propaganda zao ili kushinikiza DC huyo aondolewe kazini kwa tuhuma za mitandaoni na chuki binafsi za matapeli aliowahi kuwashugulikia wakiongozwa na Cuthbert Swai.
Pili, Sabaya ametenda mambo mengi sana pale hai ya kudhibiti uhalifu ukitaka kujiridhisha pitia mtandao wa YouTube ushuhudie.
Katika kazi hizo amejizolea maadui wenye nguvu kwasababu aligusa matapeli wenye connection na fedha, pia amejizolea kundi kubwa la wanyonge wasiokuwa na connection kubwa ya kusema katika mitandao na wasiokuwa na uwezo wa kununua kurasa kwenye magazeti, hivyo vita hapa inachezeshwa kitaalamu sana ambapo wanasiasa wenye visasi wamelitafuta lile kundi la matapeli na kulipa mbinu na kulisogeza kwa wataalam wa propaganda ili lijaribu kulipa kisasi na kuwasaidia wanasiasa hao walau kuhema maana ilikuwa hali mbaya kwao endapo Sabaya angeendelea ku-exists katika ukanda wao.
Mimi binafsi siingilii siasa zao zilizopita bali nawakumbusha tu wenye mamlaka kuwa Ole Sabaya anayomakundi mawili alioyatumikia kwanini linasikilizwa kundi lililojiungamanisha na wanasiasa wenye chuki na visasi?
Kwanini kundi la wananchi waliotendewa haki halipewi kipaumbele? Au kwa kuwa halina uwezo wa kuajiri wapika majungu wa kuandika mitandaoni? Au kwa kuwa halina uwezo wa kulipia kurasa za magazeti za kuandika mema ya mtu wao?
Tatu, kuna kundi limetokea likijaribu kudhibiti Sabaya asipate utetezi kabisa mahali popote hii ilianza siku alipohojiwa clouds Tv na sasa hawataki watu wamsemee mema aliofanya, wamefika hatua wanadai utetezi juu ya sabaya unaratibiwa na mwenyewe?
Hahaha inachekesha, Mtu mnaesema amekamatwa yuko lokapu anaweza vipi kuratibu masuala ya nje? Kwa waliowahi ingia lupango wanafahamu kuwa hilo ni ngumu mno kutokea, Nyie andikeni mlivyoagizwa na mabosi wenu kuandika lakini acheni demokrasia ya watu wengine kuandika iwepo.
Msimpangie Rais Samia, anaclear doubts zenu juu ya Sabaya msi-take advantage ya kumpangia matokeo ya uchunguzi yaweje, acheni maombi yetu wanyonge yatende kazi ya kufuta uongo za uzandiki mlioutengeneza kwa muda mrefu.
Kumbukeni Kila penye Ukweli, Uongo hujitenga Pembeni. Utafika wasaa wa Uongo kujitenga na ukweli utajidhihirisha, Kwa maana Uongo Unasafiri maili nyingi kwa Kwenda duniani Kabla Hata Ukweli Haujaamka.Ni suala la Muda tu.
Wasalaam Anatory Massawe.
nimeona nitumie neno dogo mkuu ili Hawa majambazi wanaomtetea wajitafakari kijana atakapo liwa kichwa rasmiDOSARI NDOGO,? kuchoma watu misumari, kutaka kumbaka Nandy, kuunda genge la utekaji nyara wamachame. kupora fedha arusha, hilo ni doa dogo? kubwa ni lipi mkuu?
Mkuu aliyofanya SABAYA , haki ya nani na watetezi wake walitakiwa washasomea mashitaka kama 200 mpaka sasa.nimeona nitumie neno dogo mkuu ili Hawa majambazi wanaomtetea wajitafakari kijana atakapo liwa kichwa rasmi
moja ya marafiki zangu makini na bora zaidi mbinguni na duniani....lo umenikoshaHata Lucifer ana wafuasi.
Kwa hiyo wewe zanku ndiyo Anatory Masawe?! Ungeweka na namba yako ili jamaa akishitakiwa, uitwe kumtolea ushahidi!SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai, ambako mimi nilikuwa na mabinti zangu wiwili wanaosoma pale mmoja mwaka wa kwanza mwingine wa pili.
Tukio lile la urejeshaji wa ada zilizokuwa zimeibwa kitaalam kwa kutumia mifumo ya kibenki na kupelekea wanafunzi kupatiwa payslips zilizodurufiwa na wajanja wa benki fulani, mhasibu wa chuo na wakala wa benki zilisababisha upotevu wa takribani milioni 76, hapo ndio nilimjua Ole Sabaya baada ya kuingilia na kuhakikisha taasisi za wale wahusika zinazilipa deni lile, ndio ilifungua ukurasa wa mimi kujua huyu mtu ni very potential kwenye taifa letu.
Sasa twende kwenye mada, Nampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutumia busara ya Kumsimamisha na kuruhusu uchunguzi wakujua pande zote mbili zinamasaibu gani, lakini wameibuka mahakimu walioamua kutoa hukumu zao jinsi waonavyo wao kutokana na machungu yao ya kisiasa mwaka 2020, imefikia hatua watu wamekodi kurasa za gazeti la Raia Mwema kuandika propaganda zao ili kushinikiza DC huyo aondolewe kazini kwa tuhuma za mitandaoni na chuki binafsi za matapeli aliowahi kuwashugulikia wakiongozwa na Cuthbert Swai.
Pili, Sabaya ametenda mambo mengi sana pale hai ya kudhibiti uhalifu ukitaka kujiridhisha pitia mtandao wa YouTube ushuhudie.
Katika kazi hizo amejizolea maadui wenye nguvu kwasababu aligusa matapeli wenye connection na fedha, pia amejizolea kundi kubwa la wanyonge wasiokuwa na connection kubwa ya kusema katika mitandao na wasiokuwa na uwezo wa kununua kurasa kwenye magazeti, hivyo vita hapa inachezeshwa kitaalamu sana ambapo wanasiasa wenye visasi wamelitafuta lile kundi la matapeli na kulipa mbinu na kulisogeza kwa wataalam wa propaganda ili lijaribu kulipa kisasi na kuwasaidia wanasiasa hao walau kuhema maana ilikuwa hali mbaya kwao endapo Sabaya angeendelea ku-exists katika ukanda wao.
Mimi binafsi siingilii siasa zao zilizopita bali nawakumbusha tu wenye mamlaka kuwa Ole Sabaya anayomakundi mawili alioyatumikia kwanini linasikilizwa kundi lililojiungamanisha na wanasiasa wenye chuki na visasi?
Kwanini kundi la wananchi waliotendewa haki halipewi kipaumbele? Au kwa kuwa halina uwezo wa kuajiri wapika majungu wa kuandika mitandaoni? Au kwa kuwa halina uwezo wa kulipia kurasa za magazeti za kuandika mema ya mtu wao?
Tatu, kuna kundi limetokea likijaribu kudhibiti Sabaya asipate utetezi kabisa mahali popote hii ilianza siku alipohojiwa clouds Tv na sasa hawataki watu wamsemee mema aliofanya, wamefika hatua wanadai utetezi juu ya sabaya unaratibiwa na mwenyewe?
Hahaha inachekesha, Mtu mnaesema amekamatwa yuko lokapu anaweza vipi kuratibu masuala ya nje? Kwa waliowahi ingia lupango wanafahamu kuwa hilo ni ngumu mno kutokea, Nyie andikeni mlivyoagizwa na mabosi wenu kuandika lakini acheni demokrasia ya watu wengine kuandika iwepo.
Msimpangie Rais Samia, anaclear doubts zenu juu ya Sabaya msi-take advantage ya kumpangia matokeo ya uchunguzi yaweje, acheni maombi yetu wanyonge yatende kazi ya kufuta uongo za uzandiki mlioutengeneza kwa muda mrefu.
Kumbukeni Kila penye Ukweli, Uongo hujitenga Pembeni. Utafika wasaa wa Uongo kujitenga na ukweli utajidhihirisha, Kwa maana Uongo Unasafiri maili nyingi kwa Kwenda duniani Kabla Hata Ukweli Haujaamka.Ni suala la Muda tu.
Wasalaam Anatory Massawe.
Mazaa ni mwenyekiti wa ccm taifa, ambacho ni chama tawala, Kwa hiyo kitakua lini chama cha upinzani, sheick Yahaya Hussein?!Mimi kinachoniuma ni mama kumsimamisha sabaya kazi eti kufanya ucunguzi. Nina hakika jpm angekua hai asingefanya kitu kama hicho kwa mtumishi kama sabaya. Upinzani wana hila na visasi kiongozi kama hana msimamo wa kijpm au ni mshirika wa itikadi za wapinzani kama chadema ndio unaweza kumsimamisha mwanamapinduzi kama sabaya eti kumchunguza.
Maswali kuntu kabisa, Lakini mimi naona hakuna kuziacha mamlaka zifanye kazi yake! Tungezishinikiza zifanye kazi yake, kwa maandamano na kila aina ya nguvu ya umma, kwa sababu walioumizwa na utawala mbovu na Sisi raia!Unashauri tupitie YouTube kwa ajili ya kuona 'mazuri' ya Sabaya.
Swali,
Mosi, nani kapost hayo 'mazuri'?
Pili, kwanini 'mazuri' pekee ndio yako YouTube?
Tatu, yeye ni nani haswa mpaka awe na mazuri pekee?
Nadhani, tuache mamlaka za uchunguzi zifanye kazi yake!
Kwa hiyo kama alimtetea binti yako ndio ina justify kuwa sio jambazi? Yaani watu wengine sijui akili zenu huwa mnaziweka wapi.SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha ualimu Moshi kilichopo wilayani Hai, ambako mimi nilikuwa na mabinti zangu wiwili wanaosoma pale mmoja mwaka wa kwanza mwingine wa pili.
Tukio lile la urejeshaji wa ada zilizokuwa zimeibwa kitaalam kwa kutumia mifumo ya kibenki na kupelekea wanafunzi kupatiwa payslips zilizodurufiwa na wajanja wa benki fulani, mhasibu wa chuo na wakala wa benki zilisababisha upotevu wa takribani milioni 76, hapo ndio nilimjua Ole Sabaya baada ya kuingilia na kuhakikisha taasisi za wale wahusika zinazilipa deni lile, ndio ilifungua ukurasa wa mimi kujua huyu mtu ni very potential kwenye taifa letu.
Sasa twende kwenye mada, Nampongeza Rais Samia Suluhu kwa kutumia busara ya Kumsimamisha na kuruhusu uchunguzi wakujua pande zote mbili zinamasaibu gani, lakini wameibuka mahakimu walioamua kutoa hukumu zao jinsi waonavyo wao kutokana na machungu yao ya kisiasa mwaka 2020, imefikia hatua watu wamekodi kurasa za gazeti la Raia Mwema kuandika propaganda zao ili kushinikiza DC huyo aondolewe kazini kwa tuhuma za mitandaoni na chuki binafsi za matapeli aliowahi kuwashugulikia wakiongozwa na Cuthbert Swai.
Pili, Sabaya ametenda mambo mengi sana pale hai ya kudhibiti uhalifu ukitaka kujiridhisha pitia mtandao wa YouTube ushuhudie.
Katika kazi hizo amejizolea maadui wenye nguvu kwasababu aligusa matapeli wenye connection na fedha, pia amejizolea kundi kubwa la wanyonge wasiokuwa na connection kubwa ya kusema katika mitandao na wasiokuwa na uwezo wa kununua kurasa kwenye magazeti, hivyo vita hapa inachezeshwa kitaalamu sana ambapo wanasiasa wenye visasi wamelitafuta lile kundi la matapeli na kulipa mbinu na kulisogeza kwa wataalam wa propaganda ili lijaribu kulipa kisasi na kuwasaidia wanasiasa hao walau kuhema maana ilikuwa hali mbaya kwao endapo Sabaya angeendelea ku-exists katika ukanda wao.
Mimi binafsi siingilii siasa zao zilizopita bali nawakumbusha tu wenye mamlaka kuwa Ole Sabaya anayomakundi mawili alioyatumikia kwanini linasikilizwa kundi lililojiungamanisha na wanasiasa wenye chuki na visasi?
Kwanini kundi la wananchi waliotendewa haki halipewi kipaumbele? Au kwa kuwa halina uwezo wa kuajiri wapika majungu wa kuandika mitandaoni? Au kwa kuwa halina uwezo wa kulipia kurasa za magazeti za kuandika mema ya mtu wao?
Tatu, kuna kundi limetokea likijaribu kudhibiti Sabaya asipate utetezi kabisa mahali popote hii ilianza siku alipohojiwa clouds Tv na sasa hawataki watu wamsemee mema aliofanya, wamefika hatua wanadai utetezi juu ya sabaya unaratibiwa na mwenyewe?
Hahaha inachekesha, Mtu mnaesema amekamatwa yuko lokapu anaweza vipi kuratibu masuala ya nje? Kwa waliowahi ingia lupango wanafahamu kuwa hilo ni ngumu mno kutokea, Nyie andikeni mlivyoagizwa na mabosi wenu kuandika lakini acheni demokrasia ya watu wengine kuandika iwepo.
Msimpangie Rais Samia, anaclear doubts zenu juu ya Sabaya msi-take advantage ya kumpangia matokeo ya uchunguzi yaweje, acheni maombi yetu wanyonge yatende kazi ya kufuta uongo za uzandiki mlioutengeneza kwa muda mrefu.
Kumbukeni Kila penye Ukweli, Uongo hujitenga Pembeni. Utafika wasaa wa Uongo kujitenga na ukweli utajidhihirisha, Kwa maana Uongo Unasafiri maili nyingi kwa Kwenda duniani Kabla Hata Ukweli Haujaamka. Ni suala la Muda tu.
Wasalaam Anatory Massawe.