Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

Chadema ni genge LA majambazi na wahalifu. Ole Sabaya alilijua hilo na ndio maana kama Mwenyekiti wa Kamati Ulinzi na Usalama wa Wilaya alipambana nao kisawasawa. Hasira za kushughulikiwa wamezihamishia mitandaoni na magazeti uchwara! Hawatashinda!
Wew mama unahangaika sana,
 
Kuna watu mpaka unajiuliza kichwani kwenu kuna nini, wazazi wengine hakika wana hasara
 
Alikuwa akinywa bia na kugoma kulipa akitishia watu na kikaratasi alichodai ni kitambulisho cha usalama wa taifa,huyo mtoa mada anakula bure hela za sabaya,hana weledi wa kazi aliyopewa ya kumsafisha kibaka(natural born) angekuwa mwerevu angemtaka kwanza ampe historia yote ya mishe zake toka zamani kwanza ili ajue pa kuanzia,hapo angejua kuwa maovu ya sabaya hayajaanzia hai,wala kwenye siasa za ushindani, kabla hata hajawa dc wakati huo hata haijui hai iko wapi tayari alishakuwa na tuhuma lukuki,tumeshampeleka polisi kwa kugoma kulipa bill na kututishia,enzi hizo yuko arusha huko uvccm,amuulize hiki ki card aliporwa lini? Na nani? Kwa nini?
 
Hii nchi ukitetea wanyonge unakua dikteta,ukiwaacha waendelee kuibiwa na kunyanyaswa unaitwa dhaifu.

kwa future ya watoto wa masikini ni afadhari kiongozi dikteta.
Maskini hawahitajiki sehemu yoyote, wewe pia uhitajiki
 
Mleta mada unamsifia mtu kwa kusaidia kurejeshewa ada za mabinti wako?
Mm nakupa ofa walete hao mabinti zako niwape ajira na nitawaoa wote na mahari nitakupa sio chini ya 10M
Ili nami mwisho wa siku unisifie na kujitetea.!
 
Na nyinyi kwa nini msiungane na kwenda ukurasa kwenye gazeti la Mzalendo, au Uhuru ili mumsafishe! Sasa ukilia lia humu na kutoa mapovu, unadhani ni nani atakaye kusikiliza?

Hata magufuli baadhi yenu mnamchukulia kama malaika! Lakini mtu huyo huyo kwa watu wengine humuona kama shetani! Hivyo jiepushe na kuwapangia watu cha kufanya. Kama huridhiki, nenda kalishtaki hilo gazeti mahakamani ili ukweli ujulikane.
 
Sijasoma madodoki yako yote ila nikwambie kama wewe ulikuwa mnufaika wa Sabaya kuna watu wana machungu kuliko manufaa ukisema wamekodi ukurasa unaonekana wewe ni mmoja wa wanufaika au na wewe ni mwana genge la uharifu la huyo bwana! Hata hiyo Bilioni 3 anasingiziwa??DC unapata wapi hiyo pesa kama siyo ujangili??Tupishe na madodoki yako hapa.
 
Tunza uzi wako subiri uchunguzi ukamilike, utaurudisha tena ila uchunguzi ukiwa huru na wa haki hachomoki, kumbuka Joaquin El Chapo Guzman kijijini kwake alijenga barabara, shule, hospital nk, Pablo Escobar pia, Kuna sehemu ukienda uko kaskazini mwa uganda nao wanamlilia Joseph Kone, kuna watu mpaka leo wanamlilia Osama. Hivo kila shetani ana mbuyu wake. Sabaya anapokuwa mwema kwako kuna watu kawakata masikio, kuna watu wanafamilia zao kavuruga biashara zao, kwa hivo usilizimishe wote wafanane na wewe.
 
Angoje akifikishwe Mahakamani watakuja kumtetea! Kule ndiko penye haki.
 
Huyu jambazi Sabaya ana mademu wengi sana wanamtetea kwa nguvu kubwa hapa jukwaani
 
Kama ulitapeliwa ada,akakusaidia kurejeshewa ada,lazima umtetee,ila pia yafaa ututhibitishie kweli ulitapeliwa ada na akakusaidia kurejeshewa ada yako,ama unamtetea kwa sababu ulinufaika na yaleyasemwayo kumhusu ama ni mhusika mwenyewe,baada ya hapo,twaweza shauriana vyema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…