Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

Mkuu unamjua vizuri kweli. Natamani kukuambia ungehamia huku wilayani kwake wakati ule jamaa alikuwapo...

Usingeandika haya
 
Huna akili timamu,unakataa uhalisia utakua unafikiri kwa kutumia nini sijui
Uhalisia wa kijinga, sasa unadhani kuwa masikini ni fahari, sikatai kuwa masikini hawapo, najua wapo ukiwemo wew lakini humuhitajiki mana ni mzigo
 
Sabaya hana maadili ya kutumikia umma. Unaendaje bar na kuacha bill bila kulipa sababu wewe ni mkuu wa wilaya? Huo ni wizi wa mchana kweupe
 
Pumbafu
 
Chadema ni genge la majambazi na wahalifu. Ole Sabaya alilijua hilo na ndio maana kama Mwenyekiti wa Kamati Ulinzi na Usalama wa Wilaya alipambana nao kisawasawa. Hasira za kushughulikiwa wamezihamishia mitandaoni na magazeti uchwara! Hawatashinda!
Kwa hiyo hilo genge la majambazi la CDM ndilo limemsimamisha kazi Sabaya?
 
hao mabinti zako cjui km aliwaacha salama
 
Ujinga ni bidhaa isiyo na gharama.
 
Wewe Anatory Massawe ni jambazi tunakujua, na unapomtetea Sabaya tunajua ni mshirika wako mkubwa wa wizi. Mpe Binti yako Mmoja katika waliokuwa wanasoma hicho chuo amuoe roho yako iridhike. Kwanza mabinti wenyewe sio wako wewe
Shirima nimesha kujua hii ni avatar yako hii, nimekufuatilia tokea mbali na nilikwambia wazi!! wewe!! ukimwaga mboga mie namwaga ugali!! ule mgawo ilikuwa ni suala tu la kuelewana!! hii ndo ulisema utanikomesha???

Mie sibishi kuwa hunijui najua unanijua...lkn tusianikane humu wakati tulishakubaliana!!!!!

haya unayosema hayakusaidii na mimi nikisema yenu mlivo shirikiana na mbowe kuficha account fake si utajinyea wewe? na kwambia tena km hukuridhika na ule mgawo bora ungekuja Nyumbani tuyamalize!!! sina mpango wa kuua mtu!!

Najua mlikuwa mnaniteta na Mongi eti nafanya mpango wa kuwaua!! siwezi fanya hivo japo mmeniiripoti Polisi makao makuu!! wewe ukakimbilia Dsm!! lkn jua yanatuhusu wote ukimwaga mboga mie ugali subili!!
 
Wanaomchukia ni wale wa SACCOSS ya Kaskazini kisa tapeli mwenye SACCOSS alinyoroshwa na bwana mdogo. na mama kaingia mtego wa wana SACCOSS.
 
Mwambieni Cuthbert swai, mbowe na lema ,Sabaya ni level ingine
Uzi wako ni Mzuri sana; Lakini cha Kushangaza unawalaumu wanaomkandamiza Ole Sabaya na kutaka haki iachwe itendeke wakati huo huo wewe huachi haki itendeke Ila Unamtetea na kuwaponda wanaompinga;

Ni Vyema usinge kuja na uzi huu, na kuacha haki itendeke;
 
Sabaya ni jambazi hakuna ubishi, mporaji kwa kutumia silaha anatakiwa afunguliwe kesi ya armed robbery.
Kama ni majambazi tungeanza na Lemma (kijana na Nyari) waliokuwa wanaiba magari na kuua raia wasio na hatia, lakini leo hii yupo mnsmuona kawa malaika. Sabaya aliwadhibiti vilivyo maharamia wa Hai ndo maana mmemtengenezea zengwe kwenye mitandao na mama kwa vile anapenda umbea kawasikiliza wazandiki
 


Mimi sipendi lakini ningeshauri wasela wa mitaani wamnyoshe huyu kijana kidogo kwa kipigo maana kafanya ya ajabu sana .
 
WELL SAID ANATORY MASSAWE
100%TRUE [emoji1241]
 
Ukiposema tu “visasi” nikajua hamnazo. Unakiri kuwa alifanya mambo mabaya lakini unataka asirudishiwe mambo mabaya bali aangaliwe kwa mazuri aliyofanya!!

Kwa mantiki yako, hakungekuwa mtu jela! Wote waliwahi kutenda mema katika maisha yao ya uraiani na hata uko magerezani walitenda wema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…