Hivi wewe wigwa, uko sawa kiakili?hahaahaaa unajuwa ujinga wa mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
hahaahaaa unajuwa ujinga wa mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kama mbowe mbona mbatia hayuko hivyo ulishamuona kwenye mambo ya ajabu kama mbowe? anafanya mikusanyiko inayoleta maafa ni mstaarabu anakubalika popote lakini mbowe jamani sionagi hata anachokitetea ye kila siku anawaza maandamano kutukana watu umesikiliza alivyokuwa anamtukana sabaya? eti mdogowake alikuwa ananyonya sijui wapi hivi kwenye madaraka unaulizia mtu alikuwa ananyoya wapi mpumbavu sana huyu djWewe siasa za namna ile unazfurahia?nini mana ya ustaarabu wa kisiasa kwa mawazo yako?mtu mwenye hekima huonya juu ya hatari ya kesho na sio kushangilia juu ya leo KwasabAbu tu leo mfumo unafanya ale...wengi hatuna vyama lakn nchi ni ya watu wote..mnaoshabikia mfumo wa siasa hizi mumesahau kesho ya vzazi vyenu!!
Huu ni u binafsi uliopitiliza mimi naamini mtu makini mwenye watoto ama mwenye kua na ndoto za kua nao hawezi kushangilia mambo haya!!inauma sana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbowe kwa akili zako za makalioni anahoja gani zaidi ya matusi tu hawezi hata kujibu hoja za watu wa jimbo lakeWametuharibia sana nchi yetu kimataifa na Siasa zao za kishamba za kulazimisha kupendwa.Ccm Siasa za hoja haiwezi tena
mbowe ana uvumilivu gani ambaye kila siku anatuletea maafa anavumilia nini mavi?Amani ya tz inashikiliwa na uvumilivu wa Mbowe na sio dola ni mawwazo ya kizamani kuamini dola inayouwezo wa kuzuia hasira za watu.Haya makosa ndio waliyoyafanya Saddam, Gadaf hata Hussein Mubarak wakitegrmea dola badala ya kuwekeza kwa wananchi ilipofika climax si jeshi wala polisi viliweza wasaidia tofauti na kama wangewekeza kwa wananchi
hatuwezi kuvumilia upumbavu wa mbowe hata siku moja anatupeleka wapi yeye kila siku anawaza aandamane tu anatukana kwenye mikutano hovyo mbona mbatia hatukani munamuendekeza huyo fala tuHivi wewe wigwa, uko sawa kiakili?
Wigwa unamiliki familia au bado unamilikiwa na wazazi wako?
Kwa mtu mwenye akili timamu usingecoment kipumbavu ivi.
Haya yanayofanyika na uvccm,viongozi wake ni elimu kwa taifa Zima, Sasa ikiwa taifa linajifunza aliyoeleza mleta bandiko,huko mbele baba na mama yako, shangazi na mjomba wako na uko wako watabaki salama?
Kama bandiko linakuzidi uwezo liache lipite, litakuja lingine lenye level yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama mbowe au yule shoga aliyeko ulaya?Huyu jamaa awamu moja inamtosha amefeli katika kila nyanja
Tanzania inataka kiongozi mwingine ili atuvushe
Hujajbu hoja yangu ....!!hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kama mbowe mbona mbatia hayuko hivyo ulishamuona kwenye mambo ya ajabu kama mbowe? anafanya mikusanyiko inayoleta maafa ni mstaarabu anakubalika popote lakini mbowe jamani sionagi hata anachokitetea ye kila siku anawaza maandamano kutukana watu umesikiliza alivyokuwa anamtukana sabaya? eti mdogowake alikuwa ananyonya sijui wapi hivi kwenye madaraka unaulizia mtu alikuwa ananyoya wapi mpumbavu sana huyu dj
mkuu hawa wanasahaugu wanapenda kuonewa huruma tu achana nao ccm hoyeeeeeeeeSiasa za fujo zimewarudia chadema nao wanalalamika ila wamesahau kipindi cha Kikwete mikutano ya ccm walikuwa wanafanya nini hii sasa ndio karma siungi mkono kilichotokea ila kuna mda tuwe na kumbukumbu kwa tuliyoyafanya nyuma ili tusiumie rohoni
kama unamapenzi na mbowe hutakaa uelewe maana ujinga uko damuni mmwako