NDO MHUSIKA MKUU WA VURUGU POLISI AU HUYO MCHADEMA ALIYEPIGA BASTOR IKAMPATA AKWILINA BIALA MBOWE KUANDAMANA YASINGETOKEA
NDO MHUSIKA MKUU WA VURUGU POLISI AU HUYO MCHADEMA ALIYEPIGA BASTOR IKAMPATA AKWILINA BIALA MBOWE KUANDAMANA YASINGETOKEA
Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
Magu kapumzika tumwache apumzike ila alituachia uchafu mwingi.Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.
Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia taifa hazina kubwa ya wanasiasa mahiri wewe utatuachia wanasiasa Aina ya makonda na SABAYA hili ni janga kwa taifa.
Bahati mbaya Sana utawala wako ni Kama unabariki matukio ya kihuni wanayofanyiwa wanasiasa wa upinzani.
Amin nakuambia mh Rais wanaolinda utulivu wa nchi hii sio dola ni wapinzani wanaovumilia kufanyiwa uhuni kila siku katika maisha Yao siku uvumilivu ukiwashinda tutapoteana.
Fikiria tukio la akwilina lilivyokuwa mwishowe mkambambikizia mzigo MBOWE hivi wale uvccm waliotumwa kuharibu mkutano wa mbowe wangekatwa shingo pale mngemlaumu Nani?
Amani ni tunda la haki.......!
Alipokaidi Mungu alifanya maamuzi.Huyu jamaa awamu moja inamtosha amefeli katika kila nyanja
Tanzania inataka kiongozi mwingine ili atuvushe
Magu na Ole Sabaya,sema jingine ujibiwe.amefanya mikutano hai amezuiwa na nani sindiyo sehemu ya kujibu unataka akaongelelee wapi?
Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
Watu msiojulikana hamkosi visingizio,wakala wa sifa na visingizio katangulia mbele ya haki,sasa amebaki mama wa msomi mtakuja kujua kumbe hamkujua kwa sababu ya upumbavu wenu.NDO MHUSIKA MKUU WA VURUGU POLISI AU HUYO MCHADEMA ALIYEPIGA BASTOR IKAMPATA AKWILINA BIALA MBOWE KUANDAMANA YASINGETOKEA
pole, pameuma sana. Ila ndo ukweli. Kundi la sabaya, makonda na gambo ni product ya CDM. Walipewa mafunzo kwa ufadhili wa Lowasa ili wapambane na serikali ya CCM. Serikali ikawawahi kuwazima kwa ushauri wa Lowasa baada ya kuona CDM hakuna la maana. Wamekuwa adui zenu wazuri.Hivi wewe wigwa, uko sawa kiakili?
Wigwa unamiliki familia au bado unamilikiwa na wazazi wako?
Kwa mtu mwenye akili timamu usingecoment kipumbavu ivi.
Haya yanayofanyika na uvccm,viongozi wake ni elimu kwa taifa Zima, Sasa ikiwa taifa linajifunza aliyoeleza mleta bandiko,huko mbele baba na mama yako, shangazi na mjomba wako na uko wako watabaki salama?
Kama bandiko linakuzidi uwezo liache lipite, litakuja lingine lenye level yako.
Sent using Jamii Forums mobile app