Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Kwani kuna kosa gani wanahai kutaka ufafanuzi kwa Mbowe? mbona aliulizwa maswali ya msingi? je maendeleo aliyoahidi kawaletea?mnafikiri ninyi hapo ufipa mnavyomuogopa ndivyo wanahai wanavyomuogopa?Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.
Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia taifa hazina kubwa ya wanasiasa mahiri wewe utatuachia wanasiasa Aina ya makonda na SABAYA hili ni janga kwa taifa.
Bahati mbaya Sana utawala wako ni Kama unabariki matukio ya kihuni wanayofanyiwa wanasiasa wa upinzani.
Amin nakuambia mh Rais wanaolinda utulivu wa nchi hii sio dola ni wapinzani wanaovumilia kufanyiwa uhuni kila siku katika maisha Yao siku uvumilivu ukiwashinda tutapoteana.
Fikiria tukio la akwilina lilivyokuwa mwishowe mkambambikizia mzigo MBOWE hivi wale uvccm waliotumwa kuharibu mkutano wa mbowe wangekatwa shingo pale mngemlaumu Nani?
Amani ni tunda la haki.......!
Ukikua utaelewa maliza shule kwanzambowe ana uvumilivu gani ambaye kila siku anatuletea maafa anavumilia nini mavi?
Kuna siku mtakula mabua,na mkumbuke hakuna marefu yasiyo na nchaKwani kuna kosa gani wanahai kutaka ufafanuzi kwa Mbowe? mbona aliulizwa maswali ya msingi? je maendeleo aliyoahidi kawaletea?mnafikiri ninyi hapo ufipa mnavyomuogopa ndivyo wanahai wanavyomuogopa?
Akazijibie wapi hali mnamzuia kukutana naosasa mbowe kwa akili zako za makalioni anahoja gani zaidi ya matusi tu hawezi hata kujibu hoja za watu wa jimbo lake
Nyie warundi mliojifichia chama chakavu kinachobebwa na dola badala ya hoja mmetuharibia sana nchi yetu kwa kulazimisha kupendwamkuu hawa wanasahaugu wanapenda kuonewa huruma tu achana nao ccm hoyeeeeeeee
amefanya mikutano hai amezuiwa na nani sindiyo sehemu ya kujibu unataka akaongelelee wapi?Akazijibie wapi hali mnamzuia kukutana nao
sasa sisi na nyinyi nani mkimbizi unaweza kutawaliwa miaka yote hiyo?Nyie warundi mliojifichia chama chakavu kinachobebwa na dola badala ya hoja mmetuharibia sana nchi yetu kwa kulazimisha kupendwa
Chocheeni hasira zetu tu sio kila siku ni jumapili lengo lenu pa chafukesasa sisi na nyinyi nani mkimbizi unaweza kutawaliwa miaka yote hiyo?
mtachakaaaaa jaribuni muone tuko imara kuliko janaChocheeni hasira zetu tu sio kila siku ni jumapili lengo lenu pa chafuke
Kwa msaada wa polisi wakiwaacha mkimfanyia vurugu asipate mda wa kuzijibu hoja sasa unalalamika nn mngempa muda azijibu sasa,kwann mnawaogopa?amefanya mikutano hai amezuiwa na nani sindiyo sehemu ya kujibu unataka akaongelelee wapi?
Najua kiuhalisia ktk hoja yangu sjataja Jina la mtu awe ni Mbowe au awaye yyt..matusi mnayotukana sio ninyi ila Najuaa Ni njaa na njaa ni mbaya sana..ukitaka ujue ufahamu wa mtu basi awe na njaa!! Neno njaa ni Pana...na mapana yake!!kama unamapenzi na mbowe hutakaa uelewe maana ujinga uko damuni mmwako
Watu dhaifu utegemea dola.Nikupe siri uwe unawatafuta hao mnawategemea uongee nae uyasikie yao ya moyoni uone kama bado wako pamoja nanyi.mtachakaaaaa jaribuni muone tuko imara kuliko jana
Huna akili ungenyamaza tuu.Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
hakuna mpinzani mwenye akili mbovu kama mbowe mbona mbatia hayuko hivyo ulishamuona kwenye mambo ya ajabu kama mbowe? anafanya mikusanyiko inayoleta maafa ni mstaarabu anakubalika popote lakini mbowe jamani sionagi hata anachokitetea ye kila siku anawaza maandamano kutukana watu umesikiliza alivyokuwa anamtukana sabaya? eti mdogowake alikuwa ananyonya sijui wapi hivi kwenye madaraka unaulizia mtu alikuwa ananyoya wapi mpumbavu sana huyu dj
Saddam, Gadafi,Hitler wao hawakuwa imara kwani?mtachakaaaaa jaribuni muone tuko imara kuliko jana
mbowe ndiyo aliyemfyatulia Gun Akwi?Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
Mbona hamkumpa mda ayafafanue kwanza kuliko kumletea vurugu.Ilichotakiwa ni kumpiga maswali na sio kumpiga vurugu,vurugu ufanywa na watu wasiosoma kama yule zero brain wa haiKwani kuna kosa gani wanahai kutaka ufafanuzi kwa Mbowe? mbona aliulizwa maswali ya msingi? je maendeleo aliyoahidi kawaletea?mnafikiri ninyi hapo ufipa mnavyomuogopa ndivyo wanahai wanavyomuogopa?
Ujui chochote chanzo cha kifo cha akwilini kimeletwa na mkuregenzi Kwa kuikimbia ofisi na polisi waliofyatua risasi liko wazi hilo hata ganda la risasi ukichek namba zake utazikuta polisi.Sasa yeye anahusika vipi.Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi
KAMA UNA AKILI TIMAMU HUWEZI KUSEMA CHANZO NI MKURUGENZI WAKATI HAKUWEPO CHANZO NI MBOWE NA ANATAKIWA AFUNGWE MAANA NDIYE ALIYEHAMASISHA MAANDAMANO YALIYOPELEKEA KUPIGWA RISASI ANGETULIA NANI ANGEMPIGA AKWILINA? ACHENI UBOYAUjui chochote chanzo cha kifo cha akwilini kimeletwa na mkuregenzi Kwa kuikimbia ofisi na polisi waliofyatua risasi liko wazi hilo hata ganda la risasi ukichek namba zake utazikuta polisi.Sasa yeye anahusika vipi.
Sema anawaumbua msiwafisadi wananchi
Mh Rais magufuli mfano mbaya anaoutoa SABAYA kwa vijana wengine nchini huku ukiangalia bila kumchukulia hatua ni Jambo baya Sana.
SABAYA anatenda Mambo ya kihuni hachukuliwi hatua siku vijana wengine WAKIMWELEWA itakuwa balaa kubwa Sana.
Wakati nyerere aliwa groom wanasiasa Bora na kuliachia taifa hazina kubwa ya wanasiasa mahiri wewe utatuachia wanasiasa Aina ya makonda na SABAYA hili ni janga kwa taifa.
Bahati mbaya Sana utawala wako ni Kama unabariki matukio ya kihuni wanayofanyiwa wanasiasa wa upinzani.
Amin nakuambia mh Rais wanaolinda utulivu wa nchi hii sio dola ni wapinzani wanaovumilia kufanyiwa uhuni kila siku katika maisha Yao siku uvumilivu ukiwashinda tutapoteana.
Fikiria tukio la akwilina lilivyokuwa mwishowe mkambambikizia mzigo MBOWE hivi wale uvccm waliotumwa kuharibu mkutano wa mbowe wangekatwa shingo pale mngemlaumu Nani?
Amani ni tunda la haki.......!