Ole Sabaya anawafundisha vijana wengine nchini kwamba siasa bora ni siasa za kimafia

Unajua ujinga wa Mbowe ndiyo husababisha matatizo kama ya Akwilina angekuwa na siasa za kistaarabu kusingekuwa na matukio ya ajabu hafai kuwa kiongozi

Wewe ndo unafahaa kuwa kiongozi?
Matatizo ya akili za kushikiliwa ndiyo kamayako.
 
Magu kapumzika tumwache apumzike ila alituachia uchafu mwingi.
 
NDO MHUSIKA MKUU WA VURUGU POLISI AU HUYO MCHADEMA ALIYEPIGA BASTOR IKAMPATA AKWILINA BIALA MBOWE KUANDAMANA YASINGETOKEA
Watu msiojulikana hamkosi visingizio,wakala wa sifa na visingizio katangulia mbele ya haki,sasa amebaki mama wa msomi mtakuja kujua kumbe hamkujua kwa sababu ya upumbavu wenu.
 
pole, pameuma sana. Ila ndo ukweli. Kundi la sabaya, makonda na gambo ni product ya CDM. Walipewa mafunzo kwa ufadhili wa Lowasa ili wapambane na serikali ya CCM. Serikali ikawawahi kuwazima kwa ushauri wa Lowasa baada ya kuona CDM hakuna la maana. Wamekuwa adui zenu wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…