Ole Sabaya apanga kutoroka nchini, huenda akajificha Nairobi nchini Kenya

Kamata huyo ole mwenye majivuno , dharau alidhani atakuwa kiongozi milele
 
Kupoteza muda tu. Unafikiri atafunguliwa mashtaka au kuhukumiwa? Hiyo ishapita. Atoroke ama asitoroke hana cha kupoteza. Ila wewe unamjua Nani kaibe hata Kuku uone
 
Daah! Mbanga wake haupo sasa anapitia wakati mgumu sana.
 
Kama walivyotoroka Lisu na Lema na kwenda kuolewa ulaya
Kwa hiyo kwakuwa kuanzia babu yako baba yako na wajomba zako wote ukiwamo na wewe ni mashoga mliokubuhu unadhani na wengine wapo hivyo? Wewe endelea kukalia vigogo pande za kwa mpalange, waache mabasha waendelee kukusoma jicho nyambafu
 
Kitendo cha Yeye Kuchunguzwa tu kwa Amri ya Mheshimiwa Rais ( Amiri Jeshi Mkuu ) tayari Kimedani yuko chini ya Ulinzi na kamwe hawezi Kutotoka nchi kwani hata Wao waliomkamata wanalijua hili kuwa Wazo Mama ( Kuu ) la Ole Sabaya ni Kukimbia ( Kutoroka ) nchi hivyo nao ( Mamlaka ) wameshalidhibiti hili mapema tu.
 
Hicho kifungu cha Biblia unaamini kinatuhusu wote hapa JF? Wewe unaamini je, unalazimisha nasi tuamini mambo ya Yeremia?
Tatizo unaamini na kutumaini aadhibiwe, subili utajionea maana ya kumsimamisha ni nini.
 
Hicho kifungu cha Biblia unaamini kinatuhusu wote hapa JF? Wewe unaamini je, unalazimisha nasi tuamini mambo ya Yeremia?
Tatizo unaamini na kutumaini aadhibiwe, subili utajionea maana ya kumsimamisha ni nini.
Siku 2 baada ya uzi huu akadakwa na kuswekwa lupango
 
Uongo na uzushi tu. Hii inaitwa misinformation kudhuru uchunguzi kuhusu sabaya kumuonesha ni mtu mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…