Ole Sabaya apanga kutoroka nchini, huenda akajificha Nairobi nchini Kenya

Ole Sabaya apanga kutoroka nchini, huenda akajificha Nairobi nchini Kenya

Mbona mwizi wa magari nae alitoroka nchini kwenda Canada na sikukusikia kulalamika. Kwani akienda kuishi nje wewe unakosa nini au unapata nini?
Wewe nenda kavune mpunga kwenu Ngamanga na Kapamisya kwa bibi yako , mpunga ushakomaa utaozea kwenye maji
 
Always i beliave we aren't realy perfect,but most of youngest leaders and fewers old forget where they 've been.Ole go wherever bt remind you are a suspect.U 'll be aresting.
 
Hii ndiyo Taarifa ya uvunguni ambayo imevuja , kwamba yule kijana katili aliyetesa watu na kupora pesa za wafanyabiashara wa Hai anapanga kukimbia nchi hii baada uchunguzi dhidi yake kumkalia vibaya .

Lengo la kuleta Taarifa hii nyeti ni kuvitaarifu vyombo vinavyomchunguza kuhakikisha wanamuweka kwenye Zero distance ili asiwaache solemba na kukimbilia Nairobi ambako Sheria za Kenya zaweza kumlinda na asiletwe Tanzania kujibu mashitaka yake , Tafadhalini sana vyombo vya dola msije mkathubutu kumsaidia Sabaya kutoroka , hatutawaelewa na huenda mkasababisha machafuko , mwacheni afikishwe Mahakamani akajibu tuhuma zake na akawataje wote alioshirikiana nao .

Mara nyingi sana humu JF kupitia jukwaa hili hili , mimi binafsi na waungwana wengine wengi sana tumesisitiza sana vijana wanaopata bahati ya kuteuliwa kwenye uongozi kutumia uongozi wanaopewa kwa kutenda haki , wahakikishe wanafanya kazi zao kwa mujibu wa katiba ya nchi , wasithubutu kutekeleza unyama hata kama wametumwa na mkubwa , Biblia ilishaonya tangu enzi kumtegemea mwanadamu (YEREMIA 5:17) , Kila aliyetenda kinyume cha Katiba tumwache avune alichopanda .
Unaijua vema CCM wewe?
 
Kama alikamatwa na kitambulisho cha kufoji cha TISS akaachiwa,huenda anaweza kutoroshwa kiana!
Anyway kama yuko chini ya uchunguzi huenda yuko mikono salama.
 
Back
Top Bottom