Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Inatosha hata hivyo kukaa tu magereza miezi 5 ni kifungo toshaHii kesi ina sarakasi nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatosha hata hivyo kukaa tu magereza miezi 5 ni kifungo toshaHii kesi ina sarakasi nyingi
Kapiga sn rushwaKuna kamchezo hapo....ile kwanza anaweza akapigwa fine au kifungo....zilizobakia zote ni fine pia....analipa zote huyu alikitoa mhanga anewekeza 3bil kwa wafanya biashara Arusha na Nairobi.....alikuwa anajua anafanya nini
Mbowe wamesha anza muweka pamoja na wanao subir kunyongwaAnyongwe mpaka kufa tu
Kama nimesoma vizuri ni kwamba haya ni mashtaka mapyaKwa kweli! Mbona kama tuliambiwa utetezi/ushahidi ulikamilika na tunasubiri hukumu tarehe 1 Oktaba. Imekuwaje tena?
Nani kakwambia kesi ya Unyang'anyi kwa Tanzania adhabu yake ni fainiKuna kamchezo hapo....ile kwanza anaweza akapigwa fine au kifungo....zilizobakia zote ni fine pia....analipa zote huyu alikitoa mhanga anewekeza 3bil kwa wafanya biashara Arusha na Nairobi.....alikuwa anajua anafanya nini
Hata kwa Mbowe ikitokea msianze kuliaAnyongwe mpaka kufa tu
shtaka jipya hili.
hukumu ya ile kesi ingine ni tarehe 1 october.Yale ya awali yameisha??
Ok, thankshukumu ya ile kesi ingine ni tarehe 1 october.
🤣🤣🤣🤣🤣Waganga wa kienyeji wabaya sana kwa fursa
Hapo wameishaambiwa ndugu wampelekee Kanzu atachomoka
Sijui kifungu gani cha sheria kitatumika kumpiga faini mnyang'anyi wa kutumia silaha labda useme mahakama haitomtia hatiani.Kuna kamchezo hapo....ile kwanza anaweza akapigwa fine au kifungo....zilizobakia zote ni fine pia....analipa zote huyu alikitoa mhanga anewekeza 3bil kwa wafanya biashara Arusha na Nairobi.....alikuwa anajua anafanya nini
Naungana nawe, ilisemwa hukumu sept, sept yanakuja mashitaka mapya!Sijaelewa,ni hukumu au mashtaka?
Yote yanaivua nguo serikali kama kweli yalitendwa. Usalama wa nchi unashikiliwa na usalama wa taifa, idara iliyo chini ya rais. Haiwezi kuwa kweli taarifa hizi zilikuwa hazimfikii rais. Na kuacha kuchukua hatua kunaashiria alifaidika nayo. Usalama wa taifa ulichukua hatua gani?Bado mengine ya mkoa wa kilimanjaro yanamsubiria,arusha kwa wahindi kawapiga sana huyu mchambia rungu
Bashite inadaiwa kesha kimbia nchi, kabembelezwa to na 'm... ' arudi kagoma, ni kweli?Nasubiri za Bashite
Mipango yao tu.....usishangae kwa lolote yule jambazi kabisa basi tu tusubiri Oct 1Sijui kifungu gani cha sheria kitatumika kumpiga faini mnyang'anyi wa kutumia silaha labda useme mahakama haitomtia hatiani.