Mbatizaji Mkuu
Member
- Jul 19, 2020
- 39
- 128
Tatizo la ajira na ukosefu wa akili ndo changamoto kuu kwa watanzania sasaiviBaada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao...
Jimbo la Hai litaendelea kuwa Mali ya Chadema.Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao...
KabisaMwisho wa taarifa za kukubalika au kuvunja ngome zitaoshia tarehe 28/10/2020. Tuwe na subira
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni zaidi ya hotuba amefagia ccm pemba kabisaHotuba ya Tundu Lissu Leo Pemba ni hotuba ya Kihistoria
Mimi nimeisevu kwa kumbukumbu ya Vizazi vijavyo ni hotuba muhimu sanaIle ni zaidi ya hotuba amefagia ccm pemba kabisa
Mimi ni mwalimu kwahiyo nimeisave kwaajili ya kufundishia historia ya zanzibar ile ni kitabu chenye kurasa zaidi ya 1000Mimi nimeisevu kwa kumbukumbu ya Vizazi vijavyo ni hotuba muhimu sana
Hutaki kuwa taahira au sukule ndugu?Hahaahaahaha. Kama Ni hivyo Basi siutaki ukuu wa Wilaya Wala mkoa chini ya uongozi wa Magufuli