Uchaguzi 2020 Ole Sabaya awaongoza Wananchi wa Hai kumsindikiza Magufuli kwa Mbio

Uchaguzi 2020 Ole Sabaya awaongoza Wananchi wa Hai kumsindikiza Magufuli kwa Mbio

Joined
Jul 19, 2020
Posts
39
Reaction score
128
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao

Pamoja na Upinzani kupeleka viongozi wote Jimboni Hai lakini wamegonga Mwamba maana Wananchi wamejitokeza kwa wingi leo WAKIWA wamebeba majani aina ya masare kuonesha kuomba Radhi kwa kumchagua Mbowe ambae amekuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya Hai.


 
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc Ole Sabaya akiongoza Wananchi hao...
Tatizo la ajira na ukosefu wa akili ndo changamoto kuu kwa watanzania sasaivi
 
Hiyo inaitwa sayansikimu siasa
IMG_20201020_175356.jpeg
 
Hahaahaahaha. Kama Ni hivyo Basi siutaki ukuu wa Wilaya Wala mkoa chini ya uongozi wa Magufuli
Hutaki kuwa taahira au sukule ndugu?
Kongole kwa uamuzi huo wa kiakili,kiheshima na kibusar,kukataa kuwa "mdoli".
 
Back
Top Bottom