Ole Sabaya: Doa jeusi kwa utawala wa Hayati Magufuli

I suppose we have yet to see Biden's henchmen go robbing folks at gunpoint.
In civilised communities that will never happen.
 
Hahahahaha leo hii mnataka kutenganisha maji na mafuta sio,huwezi kutenganisha matendo ya Kayafa,Bashite na Sabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ingalau mama Samia kachukua hatua ya kuruhusu uchunguzi wa kijinai ufanyike na mtuhumiwa kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma.

Matokeo tumeyaona, kwa mama Samia hili ni tukio chanya, lakini je akitikea Magufuli mwingine itakuwaje?
 
Msanii Ras Mtimanyongo amesema aliyekuwa mteule wa Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli ambaye jana alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela mh Ole sabaya amechafua kabisa legacy ya mwendazake

Aidha Sabaya amewaangusha vijana wenzake walioanza kuaminika ukizingatia kuwa amewahi kuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha, Diwani na Mkuu wa wilaya, amesema Ras.

Maendeleo hayana vyama!
 
Legacy ya JPM haiwezi kamwe kufutika na chuki hizi zinazoendelee.

JPM anabaki kuwa Rais shupavu na hodari tangu Tanzania ipate uhuru akiongozwa na Baba wa Taifa akifatiwa na Mzee Mkapa.

JPM anaishi na ataendelea kuishi huyo ras wenu mwambieni akanyoe rasta aache na kuvuta bangi😔
 
Hahahaaaa....... Sisi sote ni ndugu!
 
Yaani mpaka Ras Mtimanyongo akwambie,Magufuli alishachafuka siku nyingi.

Fikiria mtu anaiba kura,anawanyima haki waTanzania ya kuchagua huyu ni hovyo wa viwango vyote unavyojua.
Acha chuki binafsi bwashee!
 
Kuchafua legancy haimaanishi Magufuri hakua Shupavu.
 
Sukuma gang @ work

Afu ukachomekea na udini ili upate likes za wakatoliki wenzangu
 

Mdini mkubwa wewe, mwendazake ndio hivyo kashaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…