Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,113
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .

Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo.

Kwa maelezo yake ni kama ilikuwa zone fulani ya gangstar.

Kwakuwa hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na Watanzania wengi ,ajitokeze Mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu, maana bila kukanushwa madai yake ni dhahiri aliyekuwa mbunge anawajibika kwa lawama na uhalibifu wote uliotokea kwa jamii na serikali kwa ujumla, sababu mbunge ni sauti ya wananchi.
 
Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati, uporaji wa ardhi za wananchi wanyonge na uongozi mbovu wa mbunge (Mhe.Freeman Mbowe) katika mambo mengi sana!

Sasa mtu makini pamoja na mapungufu ya Ole Sabaya ungetegemea CHADEMA au Mhe.Mbowe wajiandae/ajiandae kuleta counter report itakayo disqualify facts za Ole Sabaya (ziambatane na takwimu), lakini unaweza kukuta eti wameamua kususia kuangalia Clouds TV ! Too Myopic!

Hatua yoyote tofauti na ku- face facts za Ole Sabaya ni sawa na kupulizia mzoga pafyumu ukidhani unadhibiti harufu, it's just a matter of time!
 
Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6...
Nimemsikiliza katoa facts tupu tena kwa data ,hili limewakera sana wafuasi wa Mbowe,

Inatakiwa serikali ilinde hivi vipaji kwa nguvu nyingi sana
 
Mambo aliyoongea Ole Sabaya ni mazito kweli kweli kuanzia ukusanyaji/uzalishaji hafifu wa Kodi kutoka nafasi ya 112 (_kwa wilaya za Tanzania) hadi nafasi ya 6, matumizi ya mihadarati...
Mkuu, chadema wakimjibu kwa facts na takwimu unitag. Sana sana wataishia kutukana tu kama kamanda Ngongo anavyofanya sasa hivi!
 
yaani mmbunge ndio anawajibika? kipindi hayo yanafanyika hakukuwa na mkuu wa wilaya kabla yake?
Madhuruma yanafanyika kwa wananchi unauliza mkuu wa wilaya alikuwepo?,waliokuwepo walikuwa corrupt ,na unfahamu kazi za mbunge?
 
Kwa Mujibu wamaelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds ,hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri,mihadarati,wananchi wanyonge kuporwa mashamba ,makusanyo hafifu ya kodi ,uhaba wa vituo vya afya ,miundombinu chakavu na mengine mengi ya hovyo....
Hivi mbunge ninserikali? Kwa ufinyu wako wa mawazo hata kazi za mbunge huzijui. Akili yako ni sawa na ya Sabaya.

Mbunge ana husikajena ujambazi, uvuta bangi, kuuza mihadharati?

Hii ni kuonyesha mnavyo idharaulisha serikali yenu na vyombo vya ulinzi na usalama.

Mbona hakiongelea kwenda kuvamia hoteli za watu usiku kutafuta wanawake?

Mbona haja zungumzia kuingia mabaa na kurusha huduma anazo tumia? Mbona haja zungumzia kufanya fujo disco na kupiga watu risasi?
Niwaambie kitu.

Mnazidi kuharibu. Acheni kujaribu kumpa kick Sabaya.
 
Back
Top Bottom