Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Naumwa ugonjwa wa furaha atuamini kama sasa tupo huru mliozoea kuona viroba baharini,ubambikaji, utekaji,maigizo ya mapapai, chips,mahindi mnapata tabu Sana zama hizi
Hata sasa hivi ukileta ujinga mwendo ni huo huo tu. Ndiyo maana umeamua kurudi CCM na kusifu kila kinachofanywa na Rais wetu Mama Samia. Hebu jaribu kuleta utopolo uone kilichomtoa kenge manyo....!!?
 
Inaonekana wengi awampendi kiongozi huyo kwakua aliwaziabia ujinga wao walio kuwa wanaUfanya kwa nini wote wampinge kuna kitu hapo
 
Hata sasa hivi ukileta ujinga mwendo ni huo huo tu. Ndiyo maana umeamua kurudi CCM na kusifu kila kinachofanywa na Rais wetu Mama Samia. Hebu jaribu kuleta utopolo uone kilichomtoa kenge manyo....!!?
Utopolo ufanywa na wasafisha mikojo kama nyie.
Mpangaji mpya ataki chawa mtateseka sana
 
Hawa wananchi walifanyiwa madhira na nani? Je wakati huo hakukuwa serikali yenye lengo la kusimamia wananchi na kupinga uonevu? Au serikali ya wakati huo ilikuwa chini ya Mbowe? Kuendelea kumtumia Mbowe kama kete yako kisiasa haitakusaidia, kwanza inakosa mantiki lakini pia utawala wa awamu ya sita haupo huko kabisa. Ni vizuri ukabadilka vinginevyo hata kwneye chama chako utafukuzwa.
Sauti yake ilikuwa wapi kama mwakilishi wa wananchi wakifanyiwa madhira ?, pathetic!
 
Utopolo ufanywa na wasafisha mikojo kama nyie.
Mpangaji mpya ataki chawa mtateseka sana
Sisi tunaendelea kula kwa mrija tu hatuna shida na sasa kazi imekuwa rahisi sana kwa sababu wanasaccos nao wameikimbia Saccos yao ya Chadema wamerudi CCM wanasifu kuliko hata wana CCM.
 
Sisi tunaendelea kula kwa mrija tu hatuna shida na sasa kazi imekuwa rahisi sana kwa sababu wanasaccos nao wameikimbia Saccos yao ya Chadema wamerudi CCM wanasifu kuliko hata wana CCM.
Hakuna kuimba kwaya Ili uishi zilishapita zama hizo
 
Angefuata haya uyasemayo si ajabu leo angekuwa kanisani saa hizi, ila ndio hivyo tena amefungiwa mahali hadi saa ytisa muda wa msosi. kesho ndio atatoka kwenda kufanya kazi (ngumu kama ambavyo mbuyu wake uliwahi kupendekeza wafungwa wafanyishwe kazi ngumu) za kujenga taifa
 
Mkuu, kesho si kwamba ni tarehe ya kesi ile nyingine inayoendelea?. Nadhani kesho atakuwa mahakamani tena.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wee acha tu. Kumfunga sabaya wengi tunatafakari na kufanya usanifu kama muelekeo wa mama kiitikadi ni upi. Je ni ule wa ccm asilia au yeye ni kitu tofauti kile cha awamu ya jk.🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…