Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

Malipo ya ubaya ni aibu , tukanyage ardhi ya Muumba kwa adabu.
 
Kilichomponza ni kutapatapa kwake na kusema alitumwa na Mamlaka.Ni kosa kubwa Sana kuianika mamlaka hata kama ndo ilikutuma
Na hapo mamlaka lazima ikukane. Kajifungisha mwenyewe huyo dogo.
Kama kuna mtu alimpa huo ushauri alimpoteza sana
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Alafu tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini.

Yani nchi inaanda mipango ya kuua upinzani badala ya kuandaa mipango ya kupambana na umaskini.
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Liuaji Likuu linateua wauaji wadogo
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
ni kweli ilikuwa muda wa vijana kuonyesha si kwa Magufuli tu bali watanzania kwamba kama wakipewa dhamana wanaweza kuivusha nchi bila kujali itikadi zao za kivyama, lakini matokeo yake wameiangusha nchi wakageuka makada wa chama kufanya vitu vya kihuni vya kuwaumiza wananchi na kusimamia biashara ya kununua viongozi wa vyama vingine ili wajiunge CCM kuonyesha umma kwamba chama kinakubaliwa kitu ambacho baadaye kime-backfire.

Kwa kweli vijana wa CCM mmetuangusha sana saana.
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Yaani Sabaya, Makonda, Chalamila (hawa washapotea), Gambo na Hapi ndio wataolinda legacy ya Magufuli?

Huu ni utani...!
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Kwenye hiyo list umemsahau Mnyeti na wewe mwenyewe pia, sema we ulijipendekeza lkn hakuwa kukupenda wala kukuamini, japo kwa sasa ndilo la kumshukuru Mungu, maana saa hii ungekuwa unatafuta pa kukimbilia!!
 
Labda aliyebaki hapo ni Hapi tu, japo sina uhakika
Gambo anaonekana kabisa kufurahishwa na kifo cha Magufuli na anaponda vitu vyake vingi
Hata juzi Samia alivyokuwa Arusha Gambo alisikika akisema 'kudra hoyee' kudra zimeamua wewe ni nani ukatae?
Akimaanisha ile kauli ya Samia kuwa amekuwa Rais kwa kudra (Magufuli kufariki)

Huyo Makonda na Sabaya nadhani wote mnajua, sihitaji kuwaelezea
 
Kwenye hiyo list umemsahau Mnyeti na wewe mwenyewe pia, sema we ulijioendekeza lkn hakuwa kukupenda wala kukuamini, japo kwa sasa ndilo la kumshukuru Mungu, maana saa hii ungekuwa unatafuta pa kukimbilia!!
Hahahaaaa........ Nimecheka sana!
 
Labda aliyebaki hapo ni Hapi tu, japo sina uhakika
Gambo anaonekana kabisa kufurahishwa na kifo cha Magufuli na anaponda vitu vyake vingi
Hata juzi Samia alivyokuwa Arusha Gambo alisikika akisema 'kudra hoyee' kudra zimeamua wewe ni nani ukatae?
Akimaanisha ile kauli ya Samia kuwa amekuwa Rais kwa kudra (Magufuli kufariki)

Huyo Makonda na Sabaya nadhani wote mnajua, sihitaji kuwaelezea
Gambo ni mmasai?
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Ongeza na DPP MAGANGA Walikuwa MAJEMBE YAKE ya Kuua kubambikizia Wapinzani Kesi Za kutakatisha Pesa na Uhujumu Uchumi na Ugaidi
 
Back
Top Bottom