Ole Sabaya, Makonda, Gambo, Happi na Chalamila waliaminiwa sana na Hayati Magufuli

Wamepotelea wapi?

They no longer exist in CCM politics...kwa madudu waliyofanya wataishi kama mchwa ndani ya vichuguu at least kwa utawala huu

Chalamila katemwa na utawala wa sasa...
Makonda alitemwa na huyo uliyemtaja kama mwenye legacy...
Sabaya huyu anapambana na hali yake sasa...
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!

Tunajua SABAYA alikuwa anakundi la watu tusiowajua.

Vipi na hao wengine wakiongoza makundi yao kama hayo?
 
Yes it's very simple. Ni kwa sababu walikuwa na roho ya kinyama kama aliyewateua.
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Na hawa vijana ndio wanapata tabu zaidi baada ya mungu wao kufa, hapi anashindwa mwangalia JK usoni
 
Lengai huenda aliwahi kumletea dharau bi mkubwa, katupiwa kwenye mto wenye mamba wengi sasa hivi anagala gala tu
Hata Mimi ninavyoyaona mambo ni kama Sabaya aliwahi kuchefuana na huyu mama maana kama ni kwenda kinyume na maadili ya kazi zake wako viongozi wengi tu wametokea kufanya hivyo
 
Sabaya alikuwa anamdharau sana mwana mama Anna Mghwira na hata alipoonywa alionyesha dharau kwa wale waliomuonya.
 
"Watawala makatili hutumikiwa na wanaume wasio na nyuso." Anyonimous.
 
Na hapo mamlaka lazima ikukane. Kajifungisha mwenyewe huyo dogo.
Kama kuna mtu alimpa hip udhauri alimpoteza sana
Kwa kifupi alisahau kuwa hiyo statement maana yake ni kuwa amekiri kuyafanya hayo ila kwa kutumwa. Alisahau top man alikuwa na kinga. Wacha akaliwe na nyapara.
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Lengai Yule Jambazi Huenda alimtapeli Bi Mkubwa
 
Hata kama hapa duniai watasalmika, lakini hawa wote jehanamu ya moto mkali inawasuiri, kuhani mkuu yeye alshatangulia!
Hawa wote ni watu wabaya sana ila basi tu!
Matendo yao wote yangewekwa hadhari huwezitamani kutazama au kusikia mara mbili! Ya Sabaya yaliyowasilishwa mahakamani ni machache tu!
 
Lengai anashinda rufaa yake keshokutwa.

Utajua Haujui na utajuta kumfahamu Kaaya!
Kaaya huyu huyu aliyemuomba papuchi bibi yake mwenye miaka 60? No wonder mabalaa yalimuanzia hapo akakaa lupango zaidi ya mwaka [emoji12][emoji12]
 
Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.

Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.

The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Na Mnyeti umemwacha wapi
 
Lengai anashinda rufaa yake keshokutwa.

Utajua Haujui na utajuta kumfahamu Kaaya!
Atakata rufaa mpaka afie jela. Hii kesi ya Sasa ya kupora hela kwenye akaunti Kwa mtutu na huku CCTV zikirekodi inampiga tena 30, Ile nyingine nayo 30.
 
Kwa kifupi alisahau kuwa hiyo statement maana yake ni kuwa amekiri kuyafanya hayo ila kwa kutumwa. Alisahau top man alikuwa na kinga. Wacha akaliwe na nyapara.
Kweli kabisa; binafsi nilikuwa naona kama anaonewa, alivyotoa tu hiyo kauli nikajua kwisha habari yake.

Huwa najiuliza hivi hakuwai kujua kuwa serikali ikimtuma mtu kufanya uharibifu sehemu, huyo mtu ajikamatwa wanamkana.
 
Back
Top Bottom