Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Alileta dharau au amtukana bikubwa au JKLengai huenda aliwahi kumletea dharau bi mkubwa, katupiwa kwenye mto wenye mamba wengi sasa hivi anagala gala tu
Umeenda mbali mkuu.Makonda, Sabaya, Chalamila wameshakwisha. Bado hao 2 na wote wawili ni wa imani moja. What a coincidence🧐🧐
Na hapo mamlaka lazima ikukane. Kajifungisha mwenyewe huyo dogo.Kilichomponza ni kutapatapa kwake na kusema alitumwa na Mamlaka.Ni kosa kubwa Sana kuianika mamlaka hata kama ndo ilikutuma
Alafu tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini.Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Liuaji Likuu linateua wauaji wadogoHao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Ushahidi Ni kuyapiga risasiLete ushahidi!
ni kweli ilikuwa muda wa vijana kuonyesha si kwa Magufuli tu bali watanzania kwamba kama wakipewa dhamana wanaweza kuivusha nchi bila kujali itikadi zao za kivyama, lakini matokeo yake wameiangusha nchi wakageuka makada wa chama kufanya vitu vya kihuni vya kuwaumiza wananchi na kusimamia biashara ya kununua viongozi wa vyama vingine ili wajiunge CCM kuonyesha umma kwamba chama kinakubaliwa kitu ambacho baadaye kime-backfire.Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Yaani Sabaya, Makonda, Chalamila (hawa washapotea), Gambo na Hapi ndio wataolinda legacy ya Magufuli?Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Wamepotelea wapi?Yaani Sabaya, Makonda, Chalamila (hawa washapotea), Gambo na Hapi ndio wataolinda legacy ya Magufuli?
Huu ni utani...!
Kwenye hiyo list umemsahau Mnyeti na wewe mwenyewe pia, sema we ulijipendekeza lkn hakuwa kukupenda wala kukuamini, japo kwa sasa ndilo la kumshukuru Mungu, maana saa hii ungekuwa unatafuta pa kukimbilia!!Hao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.
Huyu Lengai ndio alipendwa zaidi kwanza ndio mdogo miongoni mwa hao big 5 lakini pia alikuwa ni DC tu japo majukumu yake yalikuwa ya kitaifa zaidi sawia na KUB Mbowe.
The big 5 ndio watailinda legacy ya awamu ya 5!
Hahahaaaa........ Nimecheka sana!Kwenye hiyo list umemsahau Mnyeti na wewe mwenyewe pia, sema we ulijioendekeza lkn hakuwa kukupenda wala kukuamini, japo kwa sasa ndilo la kumshukuru Mungu, maana saa hii ungekuwa unatafuta pa kukimbilia!!
So atashinda rufaa, na kesi nyingine zilizobaki kisha ateuliwe tena?[emoji23][emoji23]Unaamini kabisa Lengai kala mvua 30?!!!
Gambo ni mmasai?Labda aliyebaki hapo ni Hapi tu, japo sina uhakika
Gambo anaonekana kabisa kufurahishwa na kifo cha Magufuli na anaponda vitu vyake vingi
Hata juzi Samia alivyokuwa Arusha Gambo alisikika akisema 'kudra hoyee' kudra zimeamua wewe ni nani ukatae?
Akimaanisha ile kauli ya Samia kuwa amekuwa Rais kwa kudra (Magufuli kufariki)
Huyo Makonda na Sabaya nadhani wote mnajua, sihitaji kuwaelezea
Unadhani haiwezekani?So atashinda rufaa, na kesi nyingine zilizobaki kisha ateuliwe tena?[emoji23][emoji23]
Sio mmasai..kuwa mmasai kunahusikaje?Gambo ni mmasai?
Tuache ramli mkuu, muda utajibuUnadhani haiwezekani?
Sawa bwashee!Tuache ramli mkuu, muda utajibu
Ongeza na DPP MAGANGA Walikuwa MAJEMBE YAKE ya Kuua kubambikizia Wapinzani Kesi Za kutakatisha Pesa na Uhujumu Uchumi na UgaidiHao vijana watano ndio walipelekwa maeneo yenye upinzani wa kweli na kazi walifanya kwa kweli.