Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

Ole Sabaya: Rais Samia atatuvusha

Malori kukwama bandarini ni furaha kubwa sana kwa Lema, Msigwa, Lisu na chadema kwa ujumla kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuuwa legacy ya Magufuli.

Huwezi kuchafua oil chafu itakuchafua, tayari chadema maji ya shingo .

Magufuli aliwagaragaza akiwa hai atawagaragaza akiwa mauti.

umeenda nje ya topic bro, mi sijamtaja magu, lissu, msigwa wala lema.
Tunamuongelea sabaya bro[emoji16]
Halafu hao kumbuka hao wapinzani ndo walikuwa wanaongoza kuibua scandals za ufisadi nchi hii.
Anyway, turudi kwa Ole[emoji23][emoji23]
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
😂😂😂
 
Kwa hii taarifa ya sabaya kusimamishwa kazi ama kweli mama atatuvusha.
 
Anafaa sana huyu kijana. Kutoka 192 hadi ya 4. Ni zaidi ya maendeleo
Kwani kwenye kazi za mkuu wa wilaya kuna mandate ya kukusanya mapato? Hizo zilikuwa porojo zake tu.

Kuongezeka kwa mapato ya wilaya ya hai kunaweza kuwa kumechangiwa na mgodi wa mererani na sababu zingine siyo Sabaya.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.

Mleta mada huyu yupo? Au anapita kimya kimya kwenye nyuzi zote za mwana mkiwa huyu?

IMG_20210513_200524_882.jpg
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.

Basi Sawa .kweli mama amekuvusha.
 
Ndugu tangy Elitweege na Etweege bahati mbaya kwenu siku zote ni kuwa mnaofikiria Watawavusha wanaishia kuwadumbukiza shimoni ,tokeni usingizini,msiendelee kukwamia awamu ambayo haipo tena,ingieni swamy mpya.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.

Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa anaripoti kwa rais, makamu wa rais (Samia) waziri mkuu, na wakuu wa mikoa, anasema hao ndiyo waliomtuma kuitoa wilaya ya hai kutoka ya 192 kwenye ulipaji kodi hadi sasa hivi iko nafasi ya 4. Sabaya amesema wilaya ya Hai ikiongozwa na Mbowe ilikuwa hub ya wakwepa kodi, wezi ,wazurumaji ,na wasaliti nchini.

Ole Sabaya amesema kitendo cha Mama Samia kusifiwa na hayati Magufuli kwenye mkutano CCM Dodoma mwaka 2020 kinaonyesha alikuwa anamwamini sana na alitaka kama yeye hayupo basi sisi watanzania tumwamini rais Samia kwani atatuvusha.

Pia amesema uzuri ni kwamba hata rais Samia ameanza vizuri baada ya kukataa hadharani kumsaliti Magufuli pale alipowajibu wahuni Lisu, Heche, Msigwa ,Mbowe, Nape, Makamba na bavichaa kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
Basha wako kashatumbuliwa
 
Mama kamtupilia mbali
Naona sabaya alikuwa anajikomba
Kwa mama tu

Ova
 
Back
Top Bottom