Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
We jamaa kweli mtoto wa mjini! Yaani Mheshimiwa Rais kaongea asubuhi jioni unamfanyia preempt?Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogowangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
Duh, buriani Sabaya. Mungu akupe wepesi kustahimili yajayo. Mshenzi wewe. Kafie mbele.Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
You have nailed it Bwashee πKitakachomwondoa Ole sabaya ni ile dharau aliyokuwa anamfanyia mkuu wa mkoa mama Anna Mghwira.
Alionywa na VP wa wakati ule lakini hakusikia wala kuonyeka.
Bwashee kama bwasheeKitakachomwondoa Ole sabaya ni ile dharau aliyokuwa anamfanyia mkuu wa mkoa mama Anna Mghwira.
Alionywa na VP wa wakati ule lakini hakusikia wala kuonyeka.
Sabaya hafai, nashauri madam president amtengue Sabaya wala asimpe nafasi yoyote atamuharibia tu bureKitakachomwondoa Ole sabaya ni ile dharau aliyokuwa anamfanyia mkuu wa mkoa mama Anna Mghwira.
Alionywa na VP wa wakati ule lakini hakusikia wala kuonyeka.
Yule wa Iringa ndio aliwaambia wastaafu ataaavunja vunjaBora Sabaya, ila kuna punda mbili hizo ndo uozo kabisa,
Moja ipo mbeya nyingine Iringa.
Kweli imeandikwa usimtegemee mwanadamu
Sisi ndio tunasubiri afukuzwe kama Mbwa ili tuchinje Kondoo
π π π π π ila JF kuna vituko Sana..Duh, buriani Sabaya. Mungu akupe wepesi kustahimili yajayo. Mshenzi wewe. Kafie mbele.
Watanzania hatupendi InterahamweNaamini Watu wengi watasherehekea hiyo siku.