Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi kuunga mkono. Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machoz.
 
Kama ni kweli hilo unalolisema huyo atakuwa na matatizo yake tu ya kifamilia...alishindwa kulia wakati wezi wa Epa ,Richmond na sasa IPTL analia kuhusu kura za siri.Halafu kwamuda wamiaka 26 ya kukaa karibu na watu wa kabila hili sija wahi kuona mmasai mwanaume anayelialia ovyo kama nikweli basi itabidi tumripoti kwa wakuu wake wa Mila nadhani LEIGWANANI MKUU NI LOWASA kwamba anaaibisha watu warika lake wake kwa hiyo aitwe apewe kale kaadhabu ka kupelekwa mtoni na kutandikwa fimbo sabini kamtembeleee kumkumbusha mafunzo ya Jandoni na umuhimu wa ukakamavu kama mkuu wa familia.

Na kwa uzembe huu kwa sababu amewahi kuwa kiongozi wa UKWATA anastahili adhabu ya kibiblia ambayo kama sikosei vi viboko 39
 
Hajaona waraka wa Kakobe kwani? Hayo ni matokeo tu ya kuwasaliti watz..e
 
Anaacha kulilia wamasai waliompa kura na bado wako kwenye umasikini wa kutisha analilia kura iwe wazi?
 
Bila shaka hii kitu siyo kweli,kama ni kweli basi huyu jamaa ana matatizo sana kutokana na kiherehere anaonyesha toka vikao vya bunge maalumu limeanza.

Sijui ni kutambua kwamba mshindani wake ktk uchaguzi ujao atakua Wakili James Millya ndio maana anajitutumua kuonyesha naye anazifahamu sheria!!!
 
Na bado...

Mkuu apigiwe ile Kanda ya Bukuku.... apate kale kakipande kama wifi....SISI WATOTO WA MJINI BWANA HATUTISHIWI MACHOZI!? Watu wanataka Katiba yeye analeta kulialia.Kama anaona namnagani si arudi simanjiro ambako wafugaji na wakulima wameuana na hatujaona akitoa hata chozi la kinafiki.
 
hivi huyu sendeka hana kwao ? Akalilie mbele huko ! Hivi huyu ana uchungu na zanzibar kuliko wapemba ? NIMEMDHARAU SANA .
 
Sendeka hana tofauti na nyumbu wa Serengeti, anaona maslahi ya chama cgake na yeye binafsi ni bora kuliko maslahi ya Taifa. Haoni uchungu gharama zilizo tumika hadi sasa kuandaa hii katiba, hafikiri kwamba hii katiba ni ya kizazi kijachi na sii kwa ajili yake. Ccm mtake msitake, mkilazumisha mnayo yataka lei, iko siku kizazi kihachi kitarekwbisha tu!!!

Hulo liko wazi na nilazima historia itawahukumu.
 
hivi huyu sendeka hana kwao ? Akalilie mbele huko ! Hivi huyu ana uchungu na zanzibar kuliko wapemba ? NIMEMDHARAU SANA .

Huyu Ole Sendeka ni mtu mnafiki sana. Hafai hata kidogo na watz wampuuze kwani "laghai".
 
hahahahahhhaaa..,!! Nasikitika nimekosa episod zake.
 
Hii masai hakwenda jando hii bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom