Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi kuunga mkono. Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machoz.
Ametimiza masharti, ya kutoa mchozi.
Anafaa kuwa waziri mkuu!
 
Bila shaka hii kitu siyo kweli,kama ni kweli basi huyu jamaa ana matatizo sana kutokana na kiherehere anaonyesha toka vikao vya bunge maalumu limeanza.

Sijui ni kutambua kwamba mshindani wake ktk uchaguzi ujao atakua Wakili James Millya ndio maana anajitutumua kuonyesha naye anazifahamu sheria!!!

Anajua Sheria ipi huyu kilaza wa form IV failure pale Old Moshi Sec.
 
Sendeka hana tofauti na nyumbu wa Serengeti, anaona maslahi ya chama cgake na yeye binafsi ni bora kuliko maslahi ya Taifa. Haoni uchungu gharama zilizo tumika hadi sasa kuandaa hii katiba, hafikiri kwamba hii katiba ni ya kizazi kijachi na sii kwa ajili yake. Ccm mtake msitake, mkilazumisha mnayo yataka lei, iko siku kizazi kihachi kitarekwbisha tu!!!

Hulo liko wazi na nilazima historia itawahukumu.

Umeandika wakati mbili tatu mkichwa? Basi walau ungekua unapitia pitia kabla hujapost mkuu. Maneno mengi hayaeleweki
 
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kitambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!

mkuu umenena sendeka anaangalia maslahi ya kitambi chake nyambafu zake anataka uwaziri huyu pimbi kweli kura ni siri ya mtu analazimisha kura ya wazi
 
VIP hilo wazo la mbunge lilikubaliwa na mwenyekiti?
 
Hivi wanaCCM kwa nini mnaogopana kiasi hicho? Wote ni Watanzania,fanyeni maamuzi kama Watanzania. Au pengine nyie ni Watanzania zaidi ya wengine? Kwa umoja wenu mnavyoweweseka, mnatia aibu. Hatuwaelewi, kinawaliza nini. Siku tukingamua, itabidi wengine muukane uTZ.
 
inawezeka hili sio limasai halisi au mzee piga alishawawazuia kulilia bungeni ila yeye mwenyewe tu kwa haya yote huwa haya kawii
 
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kitambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!

Hahahaha! Umenichekesha sana mkuu, wammasai hawawagi na vitambi..
 
Nasikia hana mke wala watoto sasa na sisi watanzania tunachekesha, tumemruhusu vipi kwenda kuamua hatima ya maisha ya watoto wetu? si tunafahamu wahenga walisema uchungu wa mwana aujuae mzazi?
 
Mungu kaanza kuonesha mkono wake juu ya CCM
 
Back
Top Bottom