Kama ni kweli hilo unalolisema huyo atakuwa na matatizo yake tu ya kifamilia...alishindwa kulia wakati wezi wa Epa ,Richmond na sasa IPTL analia kuhusu kura za siri.Halafu kwamuda wamiaka 26 ya kukaa karibu na watu wa kabila hili sija wahi kuona mmasai mwanaume anayelialia ovyo kama nikweli basi itabidi tumripoti kwa wakuu wake wa Mila nadhani LEIGWANANI MKUU NI LOWASA kwamba anaaibisha watu warika lake wake kwa hiyo aitwe apewe kale kaadhabu ka kupelekwa mtoni na kutandikwa fimbo sabini kamtembeleee kumkumbusha mafunzo ya Jandoni na umuhimu wa ukakamavu kama mkuu wa familia.
Na kwa uzembe huu kwa sababu amewahi kuwa kiongozi wa UKWATA anastahili adhabu ya kibiblia ambayo kama sikosei vi viboko 39