masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ametimiza masharti, ya kutoa mchozi.mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na kuondokana na kanuni hizo zilizodumumu takriban siku kadhaa bila ya kupatiwa ufumbuzi na wajumbe wengi kuunga mkono. Mh Ole Sendeka ameonyeshwa na kamera za bungeni akiwa amebeba mafail yake na kutoka nje ya ukumbi wa bunge huku akifuta futa machoz.
umefaham mada?
Bila shaka hii kitu siyo kweli,kama ni kweli basi huyu jamaa ana matatizo sana kutokana na kiherehere anaonyesha toka vikao vya bunge maalumu limeanza.
Sijui ni kutambua kwamba mshindani wake ktk uchaguzi ujao atakua Wakili James Millya ndio maana anajitutumua kuonyesha naye anazifahamu sheria!!!
Bunge linakera sana
Sema CCM inakera sana kwenye bunge la katiba
Sendeka hana tofauti na nyumbu wa Serengeti, anaona maslahi ya chama cgake na yeye binafsi ni bora kuliko maslahi ya Taifa. Haoni uchungu gharama zilizo tumika hadi sasa kuandaa hii katiba, hafikiri kwamba hii katiba ni ya kizazi kijachi na sii kwa ajili yake. Ccm mtake msitake, mkilazumisha mnayo yataka lei, iko siku kizazi kihachi kitarekwbisha tu!!!
Hulo liko wazi na nilazima historia itawahukumu.
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kitambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!
Watalia sana tuu,Tanzania kwanza vitambi baadae
Mmasai gani anafuga kitambi?
Tumechoka sasa,na ipigwe kura ya siri pumbavvu zao;hadi inakera jamani!