Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.

Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.

Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba.

Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai.
 
Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker 😬😬.

Hakuna mtu alizaliwa na ardhi, Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha.

Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo.

Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi.

Ukienda Pangani, Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.
 
Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker 😬😬.

Hakuna mtu alizaliwa na. ardhi,Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha..

Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo..
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi..

Ukienda Pangani,Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.

Ile sera ya Nyerere kuhamisha watu ilikuwa ni sehemu ya kugeuza wetu kuwa maskini wa kutupwa.
 
Wakati unafanya hivyo Kuna wanaume wanakuhakikishia ulinzi na Usalama wakiwemo hao hao unaowashutumu.
Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.
 
Acha masihala wewe,Kam unaamini hivyo fanya tukio harafu utapata majibu.
 
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba

Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana

Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba

Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai
Ukweli CCM inataka kuwafuta wa masai asee
 
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba

Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana

Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba

Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai

Aisee amechemka Sana, inaonekana kabisa alikurupuka
 
Back
Top Bottom