The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kama hutaki lazima ushughulikiwe,hata Mwlm aliwaondoa kwa nguvu..Wanaondolewa kimabavu na sio kuhamishwa maana hawataki.
Kule Ukerewe kuna watu walisombwa kuletwa Bara 😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hutaki lazima ushughulikiwe,hata Mwlm aliwaondoa kwa nguvu..Wanaondolewa kimabavu na sio kuhamishwa maana hawataki.
Nimeona mjadla huo ingawa sendeka alikiwa sahih Seema kabania San na spikaMbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai
Taifa ni nini, na maslahi gani ya taifa?! Wamaasai siyo sehemu ya taifa? Maslahi ya Wamaasai siyo maslahi ya taifa? Au maslahi ya taifa ni genge la viongozi, wanaouza maeneo kwa Waarabu? Taifa ni Waarabu?!Mzee Masai wanahama ,tafsiri Vyovyote inavyotaka ila maslahi ya Taifa yatalindwa at any cost, bahati nzuri hawafukuzwi bali wanahamishwa ila wakishupaa watakula chuma.
Kama hutaki lazima ushughulikiwe,hata Mwlm aliwaondoa kwa nguvu..
Kule Ukerewe kuna watu walisombwa kuletwa Bara 😄😄
Maslahi ya kila Mtanzania ni sehemu ya maslahi ya Nchi..Taifa ni nini, na maslahi gani ya taifa?! Wamaasai siyo sehemu ya taifa? Maslahi ya Wamaasai siyo maslahi ya taifa? Au maslahi ya taifa ni genge la viongozi, wanaouza maeneo kwa Waarabu? Taifa ni Waarabu?!
Hapo nadhani Profesa Muhongo alitamani ayaanike hadharani matokeo ya kidato cha sita ya Ole SendekaOle Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai
Halafu Handeni kunasifika sana kwa ile sayansi isiyoonekana kuna kijiji kinaitwa Kwa msisi . Japo nadhani huwa hazifanyi kazi kwa Maasai.Naona ile pride ya mimi Mmasai wa Arusha inaenda kuftika. Serikali inawapeleka Handeni kwa Wazigua.
Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.
Lengo la kuwafurusha Wamasai Arusha ni nini ?Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker [emoji51][emoji51].
Hakuna mtu alizaliwa na. ardhi,Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha..
Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo..
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi..
Ukienda Pangani,Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.
Andika wewe sasa mtaalam wa sheria, otherwise umebanwa kicheko ukaishia kuarisha tu kt chupiUmeandika pumba na ujinga..
Wewe hapo una lolote lipi?
Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker [emoji51][emoji51].
Hakuna mtu alizaliwa na. ardhi,Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha..
Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo..
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi..
Ukienda Pangani,Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.
Mother lands ni ngumu sana kuwaondoa watu, yaani unataka kuwahamisha wanyakyusa kutoka rungwe uwapeleke singida wakakae na wanyaturu?Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker [emoji51][emoji51].
Hakuna mtu alizaliwa na. ardhi,Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha..
Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo..
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi..
Ukienda Pangani,Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.
Mwambie kwa sauti uyo mjumbe wajumuiya ya wazazi ccmUlinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.
Hata Zanzibar mashamba ya karafuu na uchumi buluu utanuliwe wapewe ardhi shinyanyaUkweli CCM inataka kuwafuta wa masai asee
Kwahiyo comment yako lazima huyo The Sunk Cost Fallacy atakupa like kabisa maana huyo ni shoga la kizanzibar kazi yake ni kusuguliwa tako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nicheki kama ajakupa like [emoji106]
We choko vipi kuhusu uchifu huo siyo ukabila hatari zaidiKwa nini? Ililenga kuondoa upumbavu kama huu anaoongelea Sendeka wa kujifanya Wamasai walizaliwa na Ardhi hapa Tanzania..
Chanzo za ukabila ndio huwa hivyo.
SAFARI HII MTAFUTIKA TU WAARABU WANAYATAKA MAPORI YENUMbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai
Kama hujui basi poa.Lengo la kuwafurusha Wamasai Arusha ni nini ?
Katumwa na kundi fulani lakini alichotumwa akifanye kimemzidi uwezo.Aisee amechemka Sana, inaonekana kabisa alikurupuka
National interests goes way beyond that. Wamasai ni sehem ya taifa yes but si maslah ya taifa.Taifa ni nini, na maslahi gani ya taifa?! Wamaasai siyo sehemu ya taifa? Maslahi ya Wamaasai siyo maslahi ya taifa? Au maslahi ya taifa ni genge la viongozi, wanaouza maeneo kwa Waarabu? Taifa ni Waarabu?!