johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Mwalimu Tulia anajua baadhi ya sheria hufutwa kwa sheria mpya siyo vifunguTatizo lipo katika uwasilishaji wa hicho mbunge anachotumwa na kuwa na vielelezo vyote sahihi vya suala husika.
Ndio sababu alimuwahi Ole sendeka kabla hajamwaga mboga!
Angekuwa Zitto Kabwe angekomaa naye hadi mwisho kama Buzwagi