Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker [emoji51][emoji51].
Hakuna mtu alizaliwa na ardhi, Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha.
Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo.
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi.
Ukienda Pangani, Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.