johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawana lolote. Wote hao ni wamoja tu chama kimoja WATANZANIA UCHWARA. It's just a gathering of bunches of thugs.Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker 😬😬
Umeandika pumba na ujinga..H
Hawana lolote. Wote hao ni wamoja tu chama kimoja WATANZANIA UCHWARA. It's just a gathering of thugs.
Najivunia tu nguvu za kiume kwasababu natandaza miti navyojisikia.Umeandika pumba na ujinga..
Wewe hapo una lolote lipi?
Amebanwa aeleze lakini ameishia kujikanyaga kanyaga baadae ya kujifanya anajua sheria akakutana na mwanasheria madam Speaker 😬😬.
Hakuna mtu alizaliwa na. ardhi,Pindi Ardhi ikihitajika Kwa Maslahi ya Nchi lazima kupisha..
Tanzania hii ni Kubwa,kama itahitajika hizo Wilaya zote kuwa sehemu tengefu itafanyika hivyo..
Nyerere amewahi hamisha watu kutoka maeneo yao nakuwapeleka kwingine Kwa Maslahi hayo hayo ya Nchi..
Ukienda Pangani,Tanga Kuna wabena kibao walihamishwa kutoka Njombe Hadi kule.
Wakati unafanya hivyo Kuna wanaume wanakuhakikishia ulinzi na Usalama wakiwemo hao hao unaowashutumu.Najivunia tu nguvu za kiume kwasababu natandaza miti navyojisikia.
Kwa nini? Ililenga kuondoa upumbavu kama huu anaoongelea Sendeka wa kujifanya Wamasai walizaliwa na Ardhi hapa Tanzania..Ile sera ya Nyerere kuhamisha watu ilikuwa ni sehemu ya kugeuza wetu kuwa maskini wa kutupwa.
Mzee Masai wanahama, tafsiri Vyovyote inavyotaka ila maslahi ya Taifa yatalindwa at any cost, bahati nzuri hawafukuzwi bali wanahamishwa ila wakishupaa watakula chuma.Rubbish
Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.Wakati unafanya hivyo Kuna wanaume wanakuhakikishia ulinzi na Usalama wakiwemo hao hao unaowashutumu.
Acha masihala wewe,Kam unaamini hivyo fanya tukio harafu utapata majibu.Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.
Ukweli CCM inataka kuwafuta wa masai aseeMbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai
Kwa nini? Ililenga kuondoa upumbavu kama huu anaoongelea Sendeka wa kujifanya Wamasai walizaliwa na Ardhi hapa Tanzania..
Chanzo za ukabila ndio huwa hivyo.
sure maana CCM haitaki kuwaona wamasaiNaona ile pride ya mimi Mmasai wa Arusha inaenda kuftika. Serikali inawapeleka Handeni kwa Wazigua.
Haya nipe siku tatu uone. Naenda makao makuu ya wajeda nakunya hadharani halafu kayngay yeyote anisogeleeAcha masihala wewe,Kam unaamini hivyo fanya tukio harafu utapata majibu.
Rudia kusomaYaani watu waliogeuka kuwa masikini wa kutupwa ndio walioondoa upumbavu?! Au unaongea kinyume nini boss?
Labda ukanye chumbani kwakoHaya nipe siku tatu uone. Naenda makao makuu ya wajeda nakunya hadharani halafu kayngay yeyote anisogelee
Mzee Masai wanahama ,tafsiri Vyovyote inavyotaka ila maslahi ya Taifa yatalindwa at any cost, bahati nzuri hawafukuzwi bali wanahamishwa ila wakishupaa watakula chuma.
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya akiba
Ole Sendeka amechemka kutoa ufafanuzi wa kisheria kwamba Waziri anataka kufunga wilaya nne za Wamasai