Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

Nimeona mjadla huo ingawa sendeka alikiwa sahih Seema kabania San na spika
 
Mzee Masai wanahama ,tafsiri Vyovyote inavyotaka ila maslahi ya Taifa yatalindwa at any cost, bahati nzuri hawafukuzwi bali wanahamishwa ila wakishupaa watakula chuma.
Taifa ni nini, na maslahi gani ya taifa?! Wamaasai siyo sehemu ya taifa? Maslahi ya Wamaasai siyo maslahi ya taifa? Au maslahi ya taifa ni genge la viongozi, wanaouza maeneo kwa Waarabu? Taifa ni Waarabu?!
 
Maslahi ya kila Mtanzania ni sehemu ya maslahi ya Nchi..

Kwa kesi ya Masai ni kwaba wao wako eneo ambalo linainhiza pesa nyingi kwa Nchi na Lina umuhimu wa kiikolojoa ya Uhifadhi na ustawi wa maeneo mengine..

Kwa muktadha huo kulingana na shughuli zao wanaharibu hiyo so Ili kuhakikisha faida kwa wote ndio maana wanatakiwa kuhamia sehemu nyingine tena hawafukuzwi bali wanahamishwa kistaarabu na wanapewa fidia ya maeneo mengine mazuri zaidi...

Najua unajua.
 
Naona ile pride ya mimi Mmasai wa Arusha inaenda kuftika. Serikali inawapeleka Handeni kwa Wazigua.
Halafu Handeni kunasifika sana kwa ile sayansi isiyoonekana kuna kijiji kinaitwa Kwa msisi . Japo nadhani huwa hazifanyi kazi kwa Maasai.

Hivi jamani mmeshawahi kusikia kuna Maasai mwenye Mapepo au kunena kwa lugha mpya!!?
 
Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.

waTanzania hatuishi kwa neema ya mzungu, bali ya Mungu. Wewe mbeba mabox ndiyo unawaona wazungu miungu wako. Lkn sisi hatuwaoni hivyo.
 
Lengo la kuwafurusha Wamasai Arusha ni nini ?
 
Hilo la Nyerere bora ungeliacha tu maana watu walionewa sana na kutupwa maporini bila kuandaliwa makazi ya kudumu
Wengi waliliwa na wanyama
Yaani katika unyama alioufanya huyo mzee hilo ni moja
 
Mother lands ni ngumu sana kuwaondoa watu, yaani unataka kuwahamisha wanyakyusa kutoka rungwe uwapeleke singida wakakae na wanyaturu?

Nimeshuhudia watu wanaopisha vipande vya ardhi kwa matumiza maalum kama shule au zahanati, wanahishiwa eneo hilo hilo na kama kuna makaburi basi pia huhamishwa!

Sasa uhamishaji huu umezingatia mila na desturi za wamasai?

Je, makaburi na maeneo yao ya kimila yanahamishwa pia?

Au ni kuhamisha nyumba tu, mengine yote hayana maana?
Tunatafuta laana kwa hakika, sio bure!
 
Ulinzi gani na usalama? Mtanzania anaishi kwa huruma na kudra za mwenyezi Mungu baas. Tuseme msaada kidogo ukitoa wa Mungu unatoka kwa misaada, mikopo na fadhila za wazungu. Bila Mungu na wazungu watanzania tungeshaangamia zamani sana.
Mwambie kwa sauti uyo mjumbe wajumuiya ya wazazi ccm
 
Najivunia tu nguvu za kiume kwasababu natandaza miti navyojisikia.

Bushmamy
Kwahiyo comment yako lazima huyo The Sunk Cost Fallacy atakupa like kabisa maana huyo ni shoga la kizanzibar kazi yake ni kusuguliwa tako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nicheki kama ajakupa like [emoji106]
 
SAFARI HII MTAFUTIKA TU WAARABU WANAYATAKA MAPORI YENU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Taifa ni nini, na maslahi gani ya taifa?! Wamaasai siyo sehemu ya taifa? Maslahi ya Wamaasai siyo maslahi ya taifa? Au maslahi ya taifa ni genge la viongozi, wanaouza maeneo kwa Waarabu? Taifa ni Waarabu?!
National interests goes way beyond that. Wamasai ni sehem ya taifa yes but si maslah ya taifa.
Serikal yoyote dunani haijalish tajir au maskin likija suala la national interest they will not stop at anythinf until lengo lifanikiwe.

Unaochoongelea hapa ni maslah ya wananchi wa tanzania wanaitwa masai ambao impact yao nchini si kubwa kwamba goverment iweke attention yote kwao.
That how serikal inavyofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…