Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Sheria gani zaidi ya uhuni uhuni tu,mtu anayefunga kwa dhati hawezi kubabaika na chakula anachokula mwingine ni ujuha tu na unafiki unawasumbua wazanzibari.
 
Mtoa mada tupe na ushauri na aina ya vyakula mana kuna vingine vinanukia !!!
 
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Hii nzuri na inapendeza.
 
Mnachofanya wa zanzibari kuna siku mtawaponza wenzenu wa kariakoo matombo na chunya mbeya msidhani wabara ni wa jinga
 
Kinachoendelea ndo chuki kuliko alichosema mtoa mada
 
Nguvu inayotumika ingetumika katika kukataa uzinzi, ushoga, ufisadi na uhujumu uchumi lingekuwa jambo la maana na lenye kuigwa dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…