Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Mkuu Wewe kawadanganye vijana wenzako waandamane kesho,harafu jumanne watakupeni mrejesho nini kimewakuta
Wewe nguruwe wa Lumumba si umeuona mziki wa leo?
JamiiForums-1364449287~2.jpg
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.

Sia ajabu wewe ndiye umemuombea mzee wa watu akafariki sasa unajikosha. Na hata ukiongea hivi, wala haikufanyi uonekane na uchungu. Wanaokwenda kumpokea mpendwa wao wanaweza kuwa na uchungu na marehemu kuliko wewe. Sanasana hapa unadhihirisha namna umejaa ubinafsi na fikra mgando.
 
Heee sasa mnataka maandamano ya nini chadema si walitoka bungeni kuna corona sasa huo msongamano wa kumpokea lisu hawaogopi corona?
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Naona kama umeumbuka vile
 
chuma kimetia timu mjini.

kuna maswali?
 
Heee sasa mnataka maandamano ya nini chadema si walitoka bungeni kuna corona sasa huo msongamano wa kumpokea lisu hawaogopi corona?
Mzee hiyo corona bado ipo kama awali? Muulize mkuu wa nchi kwanini shule zilifungwa na sasahivi zimefunguliwa?
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Naona limekushuka. Ogopa nguvu ya umma.
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Vipi unayaonaje mapokezi ya mpendwa wetu? Ogopa nguvu ya umma. Wananchi wakiamua hakuna wa kuwazuia. Jifunze historira ya nchi zingine.
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Kiazi wahed! Nina uhakika una tumbo la kuharisha! Swain wewe!
 
Wakati nyie mko bize na mzoga wenu, sisi tuko hapa jknia tunampokea raisi mtarajiwa,

Leo tunapata somo kubwa ya tulichochuma kwenye kubomoa Umoja wa Kitaifa
Ukitazama Mwamko wa wananchi kwenye Huu msiba unagundua kuuwa tumegawanya Taifa
Wananchi wanaona kama hauwahusu
Tunaomba RAIS ajifunze kwenye hili ; tunajua atashinda Lakini ajirekebishe
 
Mkuu vipi? Huyu muda wake imeisha October ataapishwa TAL
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Dogo vipi? Maumivu
 
Mkuu maelekezo kwa wakuu wa vituo vya polisi ulikuwa ukiyatolea tokea kituko kipi?

Wa namna yenu tumbuzi ilikuwa halali yenu.

Kwa hakika mu-mizigo na hamtufai kabisa sisi kama taifa.
 
Back
Top Bottom