Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

Acha kujidhalilisha soma Sheria kilaza wewe ujue maana ya uhaini kisheria
 
Acha kujidhalilisha soma Sheria kilaza wewe ujue maana ya uhaini kisheriaView attachment 2719515
Sheria na busara huenda sambamba, ukifuata sheria kama zilivyo kwa 100% unaweza kujikuta unafunga kijiji kizima, imagine trafiki wakiamua wafuate sheria kama zilivyo ni magari mawili tu yatabaki barabarani maana takriban 90% ya magari yana makosa..
 
Ulishangaa kwa nini wameshtakiwa?
Ukaenda mbali kuleta tafsiri yako uchwara ya neno uhaini.

Sasa nimekupa tafsiri ya kosheria unaanza kuleta sijui busara.

Acheni ujinga jifunzeni kusoma
 
Hii ni mbinu ya kuwatisha CDM, ukweli IGP hana mpango wa kuwafungulia mashitaka kina Slaa maana kwanza hakuna hoja yenye mashiko, anachofanya ni very psychological, anatuma ujumbe Kwa Mbowe na Lisu indirectly, nafikiri ujumbe umefika, angalia wiki hizi mbili, wapo wapi kina Mbowe na Lisu? Wamekuwa makini sana kwenye hotuba zao, tofauti na mwanzo
 
Walitakiwa kutumia maneno ya staha na sio kutukana na kutishia kupindua Serikali. Mbona wewe Ole Ngurumwa umeongea vizuri na umekosoa na hujakamatwa? Ebu na wewe tishia uone?
 
Ulishangaa kwa nini wameshtakiwa?
Ukaenda mbali kuleta tafsiri yako uchwara ya neno uhaini.

Sasa nimekupa tafsiri ya kosheria unaanza kuleta sijui busara.

Acheni ujinga jifunzeni kusoma
Nilishangaa wapi, mimi nakupa darasa kivyangu vyangu.
 
Acha kujidhalilisha soma Sheria kilaza wewe ujue maana ya uhaini kisheriaView attachment 2719515

Wewe ndiyo kilaza ,rudia kusoma tena doc uliyoweka hapa ,Dr Slaa/Mwabukusi/Mdude hawajakidhi vigezo vya kushitakiwa kwa uhaini.....Tatizo mnalazimisha kesi sizizo na kichwa wala miguu na mnaenda kudondokea pua ,Kibatala anakuja Mbeya huko ,yaani hii case hata Mtu asiyejua sheria anawadondosha mahakamani.
 
Walitakiwa kutumia maneno ya staha na sio kutukana na kutishia kupindua Serikali. Mbona wewe Ole Ngurumwa umeongea vizuri na umekosoavna hujakamatwa? Ebu na wewe tishia uone?

Wapi Dr Slaa ametishia? Umeisikiliza ile clip vizuri? kauli aliyoitoa siyo uhaini ,alikuwa anajibu swali la mtangazaji inaamisha kwamba asingeulizwa asingejibu.

Madaraka yanatoka kwa watu na ndiyo wenye mamlaka ya kupindua serikali(iwe field au sanduku la kura) ,hakusema mimi nitaorganise na wananchi tuipindue serikali na hata kama akisema bado si uhaini mpaka kuwe na nia OVU(Mikakati ya kutekeleza ambayo imegundulika).....Wanasiasa siku zote huwa wanasema maamuzi mnayo nyinyi wananchi wa kuiondoa Serikali madarakani.
 
Walitakiwa kutumia maneno ya staha na sio kutukana na kutishia kupindua Serikali. Mbona wewe Ole Ngurumwa umeongea vizuri na umekosoavna hujakamatwa? Ebu na wewe tishia uone?
Enzi za utawala wa Mwinyi Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hakufunguliwa kesi yeyote kutokana na matamshi hayo, ingekuwa leo enzi za Samia angenyongwa kabisa. Sheria na Busara ni mapacha.
 
Kwa hiyo makosa ya Uhaini yanaenda kwa historia?

Jinga kabisa hili Masai
Unaelewa maana ya UHAINI we fala?
Watu watatu wasio na connection yoyote na majeshi wala taasisi za kiserikali wanaweza kuipindua nchi yenye majeshi yote?

Muwe mnatumia kichwa kufikiri badala ya matumbo?
 
Huu ni mpangomkakati wa wahafidhina wa CCM kumtengenezea Samia ajali ya kisiasa sidhani kama mwenyewe anauona mtego huu.yaani amesahau mara moja hii jinsi kesi ya ugaidi ya Mbowe ilivyomchafua.
Your browser is not able to display this video.
 
Unaelewa maana ya UHAINI we fala?
Watu watatu wasio na connection yoyote na majeshi wala taasisi za kiserikali wanaweza kuipindua nchi yenye majeshi yote?

Muwe mnatumia kichwa kufikiri badala ya matumbo?

Jamaa ni wapuuzi sana ,uhaini mpaka kuwe na NIA OVU ambayo ipo confirmed kabisa kwamba walitaka kupindua serikali either kwa kupanga mikakati ya kumuua rais au kuorganise vita na huwa ni siri kwa wanaofanya ,sasa cha kushangaza eti wanamkamata mtu kwa uhaini kisa ametamka waziwazi kwenye TV(Yaani hakuna Siri kabisa).

Wangejua Mapinduzi waliyofanya kina Mu7 na Kabila wasingepoteza muda kutumia resorces/kodi za walalahoi kuendesha cases za kijinga.
 
Kila mara tunashuhudia watu wakitamka kwa mfano "John must go!"
Hii ni slogan ya kisiasa kwamba mtu fulani hatumtaki.....

Sasa haya ma dupee- world yanatuona nchi nzima kama majuha kabisa!

Wacha hiyo kesi iungurume waaibike Duniani
 
Unaelewa maana ya UHAINI we fala?
Watu watatu wasio na connection yoyote na majeshi wala taasisi za kiserikali wanaweza kuipindua nchi yenye majeshi yote?

Muwe mnatumia kichwa kufikiri badala ya matumbo?
Soma kesi ya Uhaini ya mwaka 1985. Kuna waliokuwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wasiokuwemo kwenye hivyo vyombo na hata serikalini ambao walikutwa na hatia.
 
Kwa Hili hata Mimi sioni sababu ya kupoteza Fedha Kwa kesi Hii..Tutadharaulika saaana kimataifa.Polisi Hasa IGP atumie Hekima Kwa Hili.Hata wananchi hawatawaamini ,,ni Vizuri kuaminika
Hili dude la igp, very soon ataondolewa nafasi yake na atapewa mwanamama hahahahahahahaha
 
Wanakurupuka kutengeneza makosa kwa ushahidi wa kupika studio bika kujua matokeo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…