Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

Sheria ni msumeno, kama wao wana haki ya kutangaza kupindua na serikali ina haki ya kuzuia kupinduliwa. Au sivyo?
Ccm ni chama cha mapimduzi kishawahi kumpindua Nani? Neno mapimduzi kwenye siasa ni neno la kawaida, pamoja na hayo baada ya kusema hivyo Nani amehamasika na kuanza hayo mapimduzi, najua mnakenua meno kushangilia hiyo kesi lakini mmejipanga? Haya haya ndo yalitokea kwenye kesi ya ugaidi mpaka mkaanza kutafuta matundu ya kuchomokea,sitaki aibu Tena mie.
 
Maandamano sii kosa
Kupindua serikali sii kosa, Serikali zinapinduliwa Kwa njia nyingi halali , maandamano halali yanaweza kupindua serikali kihalali, acheni kukariri
Maandamano bila ruksa ya OCD ni kosa, usijitoe ufahamu.

Kupindua Serikali siyo kosa ukifanikiwa, ila ukifeli lazima unyee ndoo
 
Sheria na busara huenda sambamba, ukifuata sheria kama zilivyo kwa 100% unaweza kujikuta unafunga kijiji kizima, imagine trafiki wakiamua wafuate sheria kama zilivyo ni magari mawili tu yatabaki barabarani maana takriban 90% ya magari yana makosa..

La rais na mteule wake tu?
 
Kwamba katiba inafuatwa kwa upande wa raia tu wakionesha kuchukizwa na maamuzi ya serikali ila watumishi wa umma wakifanya wizi wa kutisha na fojari zinginezo wao huwa vifungu vya katiba haviwahusu.
 
Back
Top Bottom