Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ukisikiliza LUSA kwenye Gitaa yupo Dally KimokoProducer wake mkuu alikua Manu Lima ambaye ni mpiga kinanda hodari sana. Katika baadhi ya nyimbo zake akiwashirikisha wakali wa magitaa akina.Dally Ndala Kimoko-Solo na Denis Khasia a.k.a Lokassa Ya Mbongo-Rhythm. Nyimbo kama Lusa na.Mayumba mipini hio ya gitaa imesikika vema na katika wimbo Alfoncine kinanda cha Manu Lima kimetamalaki sawia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app