Promenthous
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 338
- 397
Dah nimesikia hata kifo chake kilisababishwa na mambo ya kisiasa, alikuwa anaumwa lakini alinyimwa ruhusa ya kwenda kutibiwa nnje ya nchi kwa sababu tu za kisiasaNilichompenda sio mziki Bali maisha yanahitaji ubunifu, jamaa kamaliza degree ya engineering kafa mwanamziki