Oliver N’goma: Mmoja kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku

Oliver N’goma: Mmoja kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku

Nilichompenda sio mziki Bali maisha yanahitaji ubunifu, jamaa kamaliza degree ya engineering kafa mwanamziki
Dah nimesikia hata kifo chake kilisababishwa na mambo ya kisiasa, alikuwa anaumwa lakini alinyimwa ruhusa ya kwenda kutibiwa nnje ya nchi kwa sababu tu za kisiasa
 
Natafuta wimbo wa zouk unaitwa

AWANA By SWEET AFRICA

Mwenye nao tafadhari, ntachangia hela ya bando.
 
Ninayo, napenda nyimbo za kiafrika..
Ila ni nyimbo ambayo ni IPO miongoni , ni audio ya dk 13 yenye nyimbo ya awana ndani yake.
Una mix sasa hiyo! Ila yenyewe ni nyimbo kabisa ipo kwenye hii album
Screenshot_20210901-165307.jpg
 
Ninayo, napenda nyimbo za kiafrika..
Ila ni nyimbo ambayo ni IPO miongoni , ni audio ya dk 13 yenye nyimbo ya awana ndani yake.
Ni zouk remix ya hii nyimbo

Awana W'Africa - Pierre Akendengue
 
Back
Top Bottom