hipocampus
Member
- Sep 14, 2020
- 89
- 104
safi sana kaka kwa ufafanuzi ..hii nyimbo itaishi sana ..bnafsi naipenda mno ...."MOBI MOBI USANGULA MUMU"“Nge’” maana yake You (wewe) kwenye hii nyimbo Inamhusu binti aliyechoshwa na hali ya kuwa mpango kando “side chick” anatamani naye kuwa na mpenzi wake mwenyewe hivyo anaomba Mungu amuonyeshe huyo mtu maana kachoshwa na aina ya mahusiano yake ya sasa. Oliver anamtia moyo kwa kumwambia yeye ni mzuri hivyo aombe na kusubiri.
RIP “NOLI” son from Mayumba