Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ukisikiliza LUSA kwenye Gitaa yupo Dally KimokoProducer wake mkuu alikua Manu Lima ambaye ni mpiga kinanda hodari sana. Katika baadhi ya nyimbo zake akiwashirikisha wakali wa magitaa akina.Dally Ndala Kimoko-Solo na Denis Khasia a.k.a Lokassa Ya Mbongo-Rhythm. Nyimbo kama Lusa na.Mayumba mipini hio ya gitaa imesikika vema na katika wimbo Alfoncine kinanda cha Manu Lima kimetamalaki sawia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap alikufa kwa matatizo ya figo kama sikoseiMgabon huyu jamaa mkali balaa alikuwa nasikia alishafariki
[emoji23] [emoji23] eeh hivyo hivyo mkuu!Nadhani hapo unataka kumaanisha kuwa melodies are exceptional, but tukiachana na hayo jamaa alikuwa vizuri sana
Mmmh! Virusi tena, basi sizidownload
Acha woga ni pop ups tu. Install add blocker kwenye browser yako ushushe ngomaMmmh! Virusi tena, basi sizidownload
Huyu bibie nae yupo vizuri ila Oliver ni mkali zaidiMwenye ngoma ya Monica seka atuwekee hapa tujalibu kuwashindanisha
Nikiwa naenda job kwenye gari huwa naanza na “Mugetu Gole” ikifuatiwa na “Passi” namalzia na “Saga”Ngoma zake kali sana zinaniburudisha nikiwa kwenye ndinga langu. Muetse,Julie,Helena,Lusa,Nge,Fely,Betty,Alphonsina,Lili,Mayumba nk
Sijui kwa ninj nyimbo zake nyingi ni majina ya wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye “Mayumba” guitar alicharanga Dally Kimoko pia kwenye “Muendu” guitar likikua makiniProducer wake mkuu alikua Manu Lima ambaye ni mpiga kinanda hodari sana. Katika baadhi ya nyimbo zake akiwashirikisha wakali wa magitaa akina.Dally Ndala Kimoko-Solo na Denis Khasia a.k.a Lokassa Ya Mbongo-Rhythm. Nyimbo kama Lusa na.Mayumba mipini hio ya gitaa imesikika vema na katika wimbo Alfoncine kinanda cha Manu Lima kimetamalaki sawia
Sent using Jamii Forums mobile app
“Kussu” unapatikana kwenye album yake ya mwisho “Saga” mimi nazipenda Betty, Nelly, Nge’be, Saga, Mukulli na Muaye kutoka kwenye album hiyoKuna wimbo unaitwa "kusu"
Aisee ule wimbo ni mkali sn
Nitauleta nikifika home
Na kwenye Mayumba
Tutaenda wote asee, nasikiliza ‘Barre’ hapaWakuu mimi ni moja kati ya mashabiki zake kindaki ndaki Uzima ukiwepo ipo siku nitaenda kuhiji huko Mayumba na Lebreville Gabon japo nione hata kaburi lake huyu mfalme wa Zouk aisee
Oliver N'goma alikua na miondoko na vionjo adimu sana sana sijawahi experience mziki mtamu wenye mixing na beat amazing Kama za Huyu mwamba aisee vibao kama
Bane
Adia
Icole
Betty
Lusa
Alphonsine
Saga
Noli
Betty
Mayumba
Mukuili
Ngebe
Julie
Lili
Melia
Seva
Nge
Lina
Noli
Mayumba
Na nyingine nyiiingi hakika ni moja ya vibao bora sana ambavyo sijapata kuona toka nianze kuujua mziki
Niseme tu hongera mtoa mada kwa kutambua mchango wa burudani wa huyu nguli
Mimi now nipo around miaka kama 23 tu hivi ila najua mziki mzuri hua napenda sana kufuatilia old music yaani kuhusu vijana wenzangu hawa wakina nani hua siwaelewi kabisaaaaaa
Anyway R.I.P oliver N'goma a.k.a Noli
King of Zouk!😢😢
Hivi yupo?
“Nge’” maana yake You (wewe) kwenye hii nyimbo Inamhusu binti aliyechoshwa na hali ya kuwa mpango kando “side chick” anatamani naye kuwa na mpenzi wake mwenyewe hivyo anaomba Mungu amuonyeshe huyo mtu maana kachoshwa na aina ya mahusiano yake ya sasa. Oliver anamtia moyo kwa kumwambia yeye ni mzuri hivyo aombe na kusubiri.Huyu ni mmoja ya kati ya wanamuziki bora zaidi wa kiume wa miondoko ya Zuku kuwahi kutokea katika hii dunia.
Embu tujikumbushe kidogo na hii ngoma yake Inaitwa Ng’e. Btw wale watoto wa bongo flavor sikilizeni hii ngoma alafu mlinganishe na muziki wa sasa wa wavaa suruali chini ya makalio.